Hivi kwa kinachoonekana kwa jamii kuna haja ya kuoa kweli?

Hivi kwa kinachoonekana kwa jamii kuna haja ya kuoa kweli?

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Kumekuwa na wimbi la mauaji, matukio, ndoa kuvunjika bila mpangilio...

Imagine mtoto yuko shule tayari anlmeshaingia kwenye kudanganya, au masponsor,

Juzi tu hapa, nimekutana na kitoto cha sekondary kina mama yake mgahawa I, tayari yeye na mamaye wananipigia mahesabu mimi. Kwa wanaume wangapi ambao sijui kasha liwa?

Aisee Hapana, kwa jamii hii na watu wenye kuendeshwa na hisia ni kheri ya kuzalisha na kuendelea na mambo mengine.

Wanawake wa leo ni pasua kichwa,

Unakuta mke wa mtu kabisa, anakatiza mbele za wanaume kali vuta dera tuone msambwanda, sa unakaa unajiuliza, je ni hali ya maisha ndo zinamtuma hivyo, ama ni kwamba kila mtu akiwa nje ya ulingo(nyumbani) anaruhusiwa kucheza mechi ziada?

Nimetongoza wanawake za watu mara kibao wao ndo rahisi kuliwa kabisa, nakumbuka hadi mke wa mjomba wangu, ambaye ni shangazi. Naye alikuwa ananitaka nikasema hii kali kwa kweli.

Nadhani, umefika wakati sasa, tukubaliane na hali kuwa, ndo haina maana tena, kama tabia mtaani ndo za namna hii, watu kujiamulia mambo tu kwa tamaa ya pesa, na kukomoana basi Wacha kizazi liendelee kuteketea tu.

Ila nawaasa vijana, wenye malengo makubwa na watakao familia... Acheni kuwa so desperate na kumpata mwenza sahihi, watu wanaishi kwa maigizo..

Nenda makanisani ukaoene watu wanao jigalagaza na kusema wao ni wifey material, ila Ukija fatilia anayo ya fanya mtaani utashangaa.. Kuna siku nilikuwa nimepanda mwendo kasi kuna wamama nyuma wakawa wanazogoa(wakimuongelea mume wa mtu ambae wote wanachepuka naye, like serious... Kwamba wanapanga njama za kumpigia vizinga kwa zamu) hao hapo wote wanakwambia wamesha zaa na watoto wako kwa mama zao.

Ukiwatazama unaona kabisa wako in their prime.. But hawana kitu cha kufanya they seem beaten by life.

So, kama jamii yenyewe tu ulisha tengeneza mifumo wajinga was hike hatamu, what do you expect? Kuna wachache wanao pata hela kimasihara.

Leo hii, unatongoza demu unaambiwa una shingapi?

Na aibu hawana kabisa.

Hivi mmesha wahi kukaa mkajiuliza what's the implication?

Kuna ndoa hapo?

Mimi naona, ifike time tukubaliane, awareness imesha shift na wajinga ndo waliwao. Bado kutokana na hisia mambo yatazidi kuwa mabaya, because people don't think anymore.

Tusahau kabisa kuona jamii ikirudi katika mstari kwa sasa
 
Hakuna mwanaume anaye Ogopa majukumu, na uongozi bali kuchapiwa ni dhihaka
Kuchapiwa inaanzaga na mindset, pili ukiwa muoga wa kuchapiwa kanuni ni hii na wewe usichape nje ya huyo uliyepewa
 
Kuchapiwa inaanzaga na mindset, pili ukiwa muoga wa kuchapiwa kanuni ni hii na wewe usichape nje ya huyo uliyepewa
Hakika, hakuna mwanaume anaye umia kuchapiwa, kama na yeye anaichapa nje.
 
Back
Top Bottom