Ulioa au unataka kuoa kwa sababu gani? Mimi sababu zangu ni hizi hapa👇👇👇

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Mimi nilioa kwa sababu nilinunua kitanda na godoro ( Like : Likud mwanangu umeshanunua kitanda na godoro tayari kwanini usioe?.

Breaking News: Tumecaha na huyo mwanamke last week. Sasa hivi nataka kuoa kwa sababu ya El Nino.

min -me najua alioa kwa sababu alichoka kupika mwenyewe.

adriz de mbusii alioa kwa sababu alichoka kujichukilia sheria mkononi.

Na mdogo wetu Beira Boy alioa kwa sababu mvivu kuamka asubuhi kila jumamosi kuwahi jumuiya na yeye anaogoga asije kususiwa msiba na kanisa so alioa mke wa kuwa anaenda jumuiya kwa niaba yake.

Wewe mwenzetu umeoa au unataka kuoa kwa sababu gani? 🎤
 
Nilioa kwa sababu uzee ulikuwa unanikaribia
 
Oa at your own risk
11609.jpg
 
Mimi nilioa kwa sababu nilinunua kitanda na godoro ( Like : Likud mwanangu umeshanunua kitanda na godoro tayari kwanini usioe?.

Breaking News: Tumecaha na huyo mwanamke last week. Sasa hivi nataka kuoa kwa sababu ya El Nino.

min -me najua alioa kwa sababu alichoka kupika mwenyewe.

adriz de mbusii alioa kwa sababu alichoka kujichukilia sheria mkononi.

Na mdogo wetu Beira Boy alioa kwa sababu mvivu kuamka asubuhi kila jumamosi kuwahi jumuiya na yeye anaogoga asije kususiwa msiba na kanisa so alioa mke wa kuwa anaenda jumuiya kwa niaba yake.

Wewe mwenzetu umeoa au unataka kuoa kwa sababu gani? 🎤
ok.🐒
 
Mimi nilipanga nikifikisha miaka 30 nioe ama niwe na mtoto wa kwanza. Nilipofikisha hiyo miaka nikaoa na mtoto akaanzia huo huo umri. Ila kabla sijaoa ilipofika huo umri niliumwa sana alafu nikapata misukosuko sana kutoka kwa ndugu wa mwanamke niliyetaka kumuoa.😄😄. Nikashikilia bomba jumla Hadi leo
 
Back
Top Bottom