dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,965
- 13,552
Ya kweli hayo, sio ukikosa huku uje kwa suzy nitakukimbiza na panga😁Nashindwa kuelewa 😅 ila kaka niachie huyu tu wale wakina aisha na yule suzy wote chukua
Ya kweli hayo, sio ukikosa huku uje kwa suzy nitakukimbiza na panga😁Nashindwa kuelewa 😅 ila kaka niachie huyu tu wale wakina aisha na yule suzy wote chukua
Dah! Haya bwana😅, Mallerina lile gari nilosema sio langu nili azima kwa mjomba mi nina baiskeli tu ambayo nilinunuliwa na ndugu yangu harmful hajawahi kunitupa ni mtu mwema sanausiwe na hofu niachie huyu mtoto wa kwanza tutamuita dosho12 ondoa shaka 😁
Safi safiDah! Haya bwana😅, Mallerina lile gari nilosema sio langu nili azima kwa mjomba mi nina baiskeli tu ambayo nilinunuliwa na ndugu yangu harmful hajawahi kunitupa ni mtu mwema sana
Binti wa zamani
😅usijali nipo na wewe ndugu yanguSafi safi
Akinikataa na hapa naomba unisindikize coco beach nikatoe nuksi
Sasa huu ndo ukimya je ukiamua kuzungumza rasmi😂😂😂Na hapo nimeahidi kuwa mkimya 😂😂😂
Mwache ajitetee mwenyewe😁
Nakuuliza mara ya mwisho unanipenda au hunipendiMwache ajitetee mwenyewe😁
Kwanini unataka kulazimisha jibu😁Nakuuliza mara ya mwisho unanipenda au hunipendi
Nipo mto msimbazi hapa naomba jibu dosho12 Binti wa zamani Seran
Unataka kujirusha😆Nakuuliza mara ya mwisho unanipenda au hunipendi
Nipo mto msimbazi hapa naomba jibu dosho12 Binti wa zamani Seran
Nakuuliza mara ya mwisho unanipenda au hunipendi
Nipo mto msimbazi hapa naomba jibu dosho12 Binti wa zamani Seran
Mallerina tunasubiri jibu zuri, ndugu yangu kasema atakununulia Jamii forum kama zawadiNakuuliza mara ya mwisho unanipenda au hunipendi
Nipo mto msimbazi hapa naomba jibu dosho12 Binti wa zamani Seran
Hii ni Zaidi ya picha mchumba.Weka na picha tukuone vizuri
Waoaji watarajiwa wengi hawana hela, na wadada wengi siku hizi mmeipa pesa kipaumbele kuliko masuala ya companionship & building for each other..Sasa hapo ndoa kuzaliwa inakua ngumu 😁 MallerinaHamna waoaji siku izi ukiwemo ww mleta mada
Oa akili yako ikueMimi nilioa kwa sababu nilinunua kitanda na godoro ( Like : Likud mwanangu umeshanunua kitanda na godoro tayari kwanini usioe?.
Breaking News: Tumecaha na huyo mwanamke last week. Sasa hivi nataka kuoa kwa sababu ya El Nino.
min -me najua alioa kwa sababu alichoka kupika mwenyewe.
adriz de mbusii alioa kwa sababu alichoka kujichukilia sheria mkononi.
Na mdogo wetu Beira Boy alioa kwa sababu mvivu kuamka asubuhi kila jumamosi kuwahi jumuiya na yeye anaogoga asije kususiwa msiba na kanisa so alioa mke wa kuwa anaenda jumuiya kwa niaba yake.
Wewe mwenzetu umeoa au unataka kuoa kwa sababu gani? 🎤
Ila companionship ane building for each other inapendeza ikifanyika kama wapo.kwenye uchumba tuWaoaji watarajiwa wengi hawana hela, na wadada wengi siku hizi mmeipa pesa kipaumbele kuliko masuala ya companionship & building for each other..Sasa hapo ndoa kuzaliwa inakua ngumu 😁 Mallerina