Ulioa au unataka kuoa kwa sababu gani? Mimi sababu zangu ni hizi hapa👇👇👇

Ulioa au unataka kuoa kwa sababu gani? Mimi sababu zangu ni hizi hapa👇👇👇

Waolewaji ndio mnazinguaga aisee nina hasira
Cc Binti wa zamani
Calm Down Champions League GIF by Liverpool FC.gif

Kunywa maji utulie kidogo kijana wangu!

Mpaka Binti wa zamani apitishe hili swala😁😄
Nimepitisha, mje sasa tuzidi kuunganisha koo, mabinamu wa mbali kuoana si dhambi!
 
Bila hasira hivi vitu haviendi
Ila naahidi kupunguza kuongea na hata kuwa bubu kabisa asante aunt 🤐
Kamdomo mpwaa wangu, kamdomo 😆😂😂 ikibidi kakate tu!

Ngoja tuone😆😆😆
Tuone nini tena, mashangazi tuko tayari kwa harusi!
El nino ikianza ni muda wa kutengeneza watoto na kuniongezea wajukuu!
 
Back
Top Bottom