Nahitaji mwenza wa kuoa Morogoro

Nahitaji mwenza wa kuoa Morogoro

sethdias

Member
Joined
Aug 26, 2026
Posts
57
Reaction score
151
Habari wakuu? Umri unakwenda sana. 39 yrs now. Dada ambae unapatikana hapa morogoro au mkoa wowote lakini una uhitaji wa kuoelewa mwezi ujao, naomba tuwasiliane inbox. Binti mzuri, uwe mkristo. Umri 25-33. Urefu wastani. Hatuna pesa mama ndo tunaanza kutafuta. Karibuni sana wahitaji.
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
zingatia ndo naanza kutafuta na mimi nataka aje awe mweusi mfupi sana ila nyuma pawike
 
downloadfile-207.jpg
 
Umri wako uloweka upo kwenye hilo group au ulimaanisha nini kusema wanakuja?
 
Back
Top Bottom