Nahitaji mwenza wa kuoa Morogoro

Nahitaji mwenza wa kuoa Morogoro

sasa hivi Jf sio Home of Great Thinker tena.....ni "Home of great sinker"
Nimeposti kwenye jukwaa la mapenzi na mahusiano rafiki. Naamini huu ujumbe unafaa kuwa hapa. Ungeweza tu kuingia kwenye majukwaa mengine ambayo si ya mahusiano na mapenzi. Usikwazike kwa ujumbe usio kuhusu rafiki.
 
N

ilidhani unazungumzia ke mkuu
Ke washatulia walikua na kaupepo kao kipindi flani naona Me mmeamua kuwapokea. Naona mkigeuka kutizamana kila moja anamwona mwenzake kazeeka ukipiga hatua kwa Gen Z kuwamudu mmnaona kuna kaugumu flani. Poleni sana
 
Back
Top Bottom