Wanaume Wa kikristo turuhusiwe kuoa mke zaidi ya 1

Ukifanikiwa kuoa zaidi ya mke mmoja, kuna siku utatamani ni bora usingeoa.
 
Wakristo hawafuati Sheria za kanisa ila wanafuata NENO la MUNGU ,Yesu KRISTO ambaye ni NENO.
1 Kor 7:2-6
Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.

Efe 5:31
Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja.

SISI tunafuata Sheria ya MUNGU/NENO la MUNGU ,na sio kwamba MUNGU ANAFUATA SHERIA YETU INAYO ongozwa na tamaa YETU.
Yani sio kwasababu baadhi ya wakristo wanatamaa au wanapenda kufanya dhambi Fulani kama hiyo ya ULEVI au UZINZI,ufuraji, UONGO,ufisadi,masengenyo n.k. Basi dhambi zetu ndio ziwe muongozo WA Sheria ya Mungu ibadilike kukidhi tamaa zetu za dhambi,HAIPO HIVYO na haitakaa itokee,
bali kila MTU afanye kama alivyokusudia moyoni mwake Ufu 22:11 SUV
BHN
SUV
Neno
SRUV
Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa.

Mwisho WA siku kila MTU atavuna alichokipanda ,kila MTU atapewa ujira wake mwisho WA siku SAWA SAWA na MATENDO yake yalivyokuwa.

2 Wakorintho 5:10 TKU
Tutasimama sote mbele za Kristo ili tuhukumiwe. Kila mtu atalipwa anachostahili. Kila mtu atalipwa kutokana na matendo yake, mazuri au mabaya, alipoishi katika mwili huu wa kidunia.

Ni afadhali kuchagua upande kama ni dhambi uwe mtenda dhambi mazima ,kama ni UTAKATIFU uwe mtakatifu mazima ,ukiwa nusunusu ,vuguvugu..utatapikwa(utatupwa motoni)

Ufu 3:15-16
Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.

HITIMISHO
Wanadamu sisi TUNAISHI kufuata NENO,Sheria ya Mungu,Mungu habadiliki Wala habadilishi Sheria zake kutokana na matakwa YETU ya kutaka kutamani kutenda dhambi ili KUPENDANA na matamanio YETU,ila sisi ndio TUNATAKIWA TUBADILIKE TUACHE DHAMBI.

Ulitakiwa USEME jamani eheee wazinzi wote tubuni dhambi muache umalaya ,mtulie na ndoa zenu.

SIO KWELI KWAMBA UKIOA MITAALA wake wengi unaounguza migogori na ugomvi WA kifamilia ,badala yake wote walio OA wake wengi ilipelekea migogoro ya kifamilia mke mkubwa na mdogo na watoto WA mke mkubwa na mdogo.
Hapa kuna mifano mikuu minne kutoka kwenye Biblia inayothibitisha hoja yako:

1. Ibrahimu, Sara, na Hajiri (Mwanzo 16 na 21)

Ibrahimu alimchukua Hajiri (mtumishi wao) awe mke wake wa pili baada ya Sara kukawia kupata mtoto.
• Mgogoro: Mara baada ya Hajiri kupata ujauzito, alianza kumdharau Sara. Sara naye akamtesa Hajiri hadi Hajiri akakimbia nyumbani.
• Athari kwa watoto: Baadaye Sara alipomzaa Isaka, alimwona Ishmaeli (mwana wa Hajiri) akimkejeli Isaka. Hali hii ilipelekea Sara kumlazimisha Ibrahimu kuvukuzia mbali Hajiri na mtoto wake nyikani.

2. Yakobo, Lea, na Raheli (Mwanzo 29 na 30)

Yakobo alihadaiwa akamwoa Lea kwanza, kisha akamwoa Raheli ambaye ndiye aliyempenda zaidi. Kisha akawachukua na wajakazi wao, Bilha na Zilpa, kama wake.
• Mgogoro: Kulikuwa na ushindani mkubwa sana wa kupata upendo wa Yakobo na kuzaa watoto. Raheli alimwonea wivu Lea kwa sababu alizaa watoto, na Lea alijisikia mnyonge kwa sababu hakupendwa. Wake hawa walifikia hatua ya "kukodishana" usiku wa kulala na mume wao kwa kubadilishana na matunda (mandrake).
• Athari kwa watoto: Watoto wa Lea na wale wa wajakazi walimwonea wivu mkubwa Yosefu (mtoto wa mke mpendwa, Raheli). Wivu huu ulikuwa mkubwa hadi wakataka kumuua Yosefu, na mwisho wakamuuza utumwani Misri.

3. Elkana, Hana, na Penina (1 Samweli 1)

Elkana alikuwa na wake wawili: Hana (ambaye hakuwa na mtoto lakini alipendwa sana) na Penina (ambaye alikuwa na watoto).
• Mgogoro: Penina alikuwa akimsimanga na kumfanyia fujo Hana mara kwa mara ili kumuumiza roho kwa sababu Hana alikuwa tasa. Biblia inasema Penina alimchokoza Hana hadi Hana akawa analia na kukataa kula chakula. Hii ilileta simanzi kubwa kwenye familia kila walipokwenda kuabudu.

4. Mfalme Sulemani (1 Wafalme 11)

Sulemani alikuwa na wake 700 na masuria 300.
• Mgogoro: Ndoa hizi za mitala hazikuleta tu migogoro ya kijamii, bali ziliharibu kabisa misingi ya kiroho ya familia yake. Wake zake waligeuza moyo wake amwache Mungu, na matokeo yake yakawa ni kusambaratika kwa ufalme wa Israeli chini ya mwanae, Rehoboamu, mara baada ya Sulemani kufa.

ITOSHE KUSEMA,Fundisho la kuwataka wakristo wawe na wake wengi ,ni Fundisho potofu la kishetani LENYE HILA ndani yake.Ni Fundisho la mpinga KRISTO,na manabii WA UONGO.
 
Sio kukutana na waarabu baada ya kupitia sheria na kuona uislam uliwatangulia
Talaka sio kwaajili wa waarabu ni kwaajili ya waislam
mimi nimeonesha talaka imeingiaje magharibi, huyo mwanahistoria hapo anachojaribu kusema magharibi wamepokea concept ya talaka, na wakaenda mbali baada ya shida walizoziona kwenye talaka wakaanzisha kugawana mali ili kupunguza talaka za kiholela. --- wamefanya yote hayo bila ya kua waislamu moja kwa moja.

hivyo nitaendelea kumaintain wordings nilizotumia, na ni kweli waarabu wale walikua waislam
 
Kugawana mali haijawahi kua suluhu ya talaka
Suluhu kila mtu abakie na chake kama awali
Ila kama kawaida 2:241 Qur’an ikasema mazuri humo
 
Wewe unatamaa ya ngono, unaendekeza tamaa za mwili na kuzitii sheria za Dunia. Kama unaona Ukristo unakubana nenda Uislamu Bro! Suala la mtu kucheat ni maamuzi yake binafsi mbona watu wanatulia! Shida ni kwamba watu wamejiwekea kuwa ni lazima kucheat, au kulala na wanawake/wanaume wengi.
Watumishi wa Mungu waliotangulia walijua haya wakasema moja kwa moja nenda ukasome Biblia vizuri mtu alieona akaamua kuachana na mkewe na kwenda kwa mwanamke mwingine amezini! Maana pingu za maisha hutenganishwa na kifo pekeyake.
Kwaiyo nakushauri hama dini uende kwenye Uhuru usibadilishe kanuni na sheria kuwa mlango wa maovu, cheat kivyako, ziini kivyako usijumlishe Kanisa la Ukristo.
 
Alafu hao wanawake wenu wa kiislamu wakikaa kwenye vikundi vya wamama mnajua wanasema nini? "Tunatamani Ukristo kuishi na mume mmoja na mke mmoja as one hadi kifo" hata wakezenu hawana furaha kwenye hiyo ndoa ya kushare mume Tena kwa ridhaa.
 
Hapana, iruhusiwe talaka

Maana na talaka ni Nini?
Ni kutimiza tamaa za kimwili na kingono hamna maana nyingine hapo! Wanaume hupenda talaka kwasababu kuoa sio Jambo kubwa kwao hasa kwa wale wanawake wanaopenda ndoa kwanza ndio tendo. Mtu anakuja kwenye maisha yako sababu ya ulivyoumbika na tamaa zake anakuoa anakutumia atakavyo akichoka anakupa talaka.
 
Kugawana mali haijawahi kua suluhu ya talaka
Suluhu kila mtu abakie na chake kama awali
Ila kama kawaida 2:241 Qur’an ikasema mazuri humo
mkuu clip hiyo ya yuotube umesikiliza? kama hujasikiliza sema nilete transcript ya maneno,
maana mwahistoria huyo anasema spain tunafahamu muda uislamu ulipofika concept ya talaka wakapatia pale, lakini watu wakawa wna misuse talaka mtu anatoa talaka anaenda kuoa tena binti mdogo , mamlaka zikaja na hiyo mbinu ya kugawana mali ili watu wasitoe talaka ovyo
 
Nakuelewa na nimeelewa ila ndio nnaposema lugawa mali haijawahi kua suluhisho
Kumpa mtu mali isio muhusu ni wizi kama wizi wengine tofauti yake tu ni kwamba huo umevikwa koti la kisheria
Inawezekanaje umeo mtu hana mali ila baada ya kuachana unampa mali zako tena nusu kwa nusu
Haijalishi wala haiangaliwi umezichumaje huu ni wizi kama wizi mwengine
 
mali walizovuna pamoja muda wa ndoa ndo zilikua zinagawanywa.

dhana ya kugawa mali ukiiangalia kwa tafakuli isiyo na ubinafsi lazima uiunge mkono japo kwasasa imepata changamoto na yenyewe inahitaji reforms.

mwanamke analindwa kwenye talaka kwa sababu emu angalia mfano mdogo hata huku kwenye jamii, Mwanamke kufanya kazi, biashara ,kusafiri anahitaji ruhusa --- sasa kama atakua yupo nyumbani kazi yake kulea familia siku yakipalanganyika lazima apewe fidia.

Hata aya ulizonukuu, waumini wengi tu yakiwakuta hawafatishi licha ya kua ni waendaji msikitini. Hapo ndo mkono wa sheria unapoingia
 
Tumsife yesu kristu, mwanakondo ameshinda
Hallelujah
Wanaume wakristo ndio watu wanaongoza kwa kuchepuka hali inayoleta migogoro kwenye familia mbaya zaidi inaweza sababisha kuleta magonjwa kwenye familia
Ushaurj wangu makanisa ya kikristu yaruhusu wanaume wa kikristu kuoa mke zaidi ya mmoja hiyo itasaidia kupunguza uzinzi na uasherati na kuepuka migororo ya ndoa inayoleta madhara kama mauaji, vilema n.k
Wewe kwani siumeshaolewa unataka uolewe mara ngapi tena binti?
 
Back
Top Bottom