Waziri wa Mambo ya Ndani, PatrobasKatambi amesema hayo mjini Makambako mkoani Njombe leo Oktoba 18 wakati ziara ya Makamu wa Rais Deogratius Ndejembi, ambapo amesema kutambua viashiria vya utapeli katika mapenzi itasaidia kuepuka kuchukua sheria mkononi kwani mamlaka husika hazitaacha kuchukua hatua za kisheria kwa wote wanaoumiza ua kuua kwa sababu mbalimbali ikiwemo wivu wa mapenzi.