Waziri wa Mambo ya Ndani, PatrobasKatambi amesema hayo mjini Makambako mkoani Njombe leo Oktoba 18 wakati ziara ya Makamu wa Rais Deogratius Ndejembi, ambapo amesema kutambua viashiria vya utapeli katika mapenzi itasaidia kuepuka kuchukua sheria mkononi kwani mamlaka husika hazitaacha kuchukua...
Habari wana-JamiiForums,
Hivi karibuni, tumeshuhudia tukio ambalo limeacha maswali mengi kuliko majibu kuhusu mwelekeo wa usalama wa nchi yetu. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuwaita wasanii na maarufu wa mitandao ya kijamii na...
Msanii Dudubaya aitikia wito wa Waziri wa mambo ya ndani Katambi baada ya Waziri kutoa maagizo kwa jeshi la Polisi Dudubaya akamatwe baada ya kukaidi kuitikia wito wake wa kwanza hapo juzi.
Soma: Waziri Katambi aagiza Dudubaya akamatwe kwa kukaidi Wito wa Serikali
"Sijawahi kuwa mkaidi kwa...
Video ya Dudu Baya
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta na kumfikisha mbele ya vyombo vya sheria msanii Godfrey Tumaini maarufu Dudubaya, baada ya kushindwa kuitikia wito wa Wizara hiyo.
Akizungumza na wanahabari leo Ijumaa, Katambi amesema...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ameitisha kikao na Makampuni ya Simu ya VODACOM, AIRTEL, YAS, HALOTEL na TTCL ili kuweza kujadili uhalifu wa mitandaoni unaotumia namba za simu ikiwemo ule utapeli wa simu wanazopokea hata baadhi ya wazazi akiambiwa mtoto wako anaumwa na aina...
Haya friji la Gigy money aligandishi kabisa :)
Kwa madai aliyatoa msanii wa muziki wa Bongo Fleva Gigy money amesema baada ya kuitwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi walipewa elfu 50 za kula.
Ila Katambi kwahiyo bwebwe zote hizo uliwapa hadi hela ya kula
Soma Pia: Malu...
Anchoongea Waziri Katambi kwa maandishi
Kuna ambo wana kauli za ajabu kwenye vyombo vya habari. Tutachukua hatua pale mtaakapovunja sheria.
Lekini hatutaishia hapo tu. Na hii haivunji na haihusianii na kuvunja haki za binadamu na utawala bora, haihusiani na kuvunja misingi ya haki za binadamu...
Mwenendo wa wanaotukana badala ya kujenga hoja kwenye mijadala katika mitandao ya kijamii limeanza kupungua.Naamini waliokuwa wanafanya hivyo wengi wao hawakuwa Raia wa Tanzania na walikuwa na nia ya kuambukiza tabia chafu ya kutokujali kwa watanzania wenye ustaarabu na heshima.
Msikieni huku mchangisha michango
Msanii na mdau wa sanaa Steve Nyerere amependekeza Wizara ya Mambo ya Ndani kusitisha utoaji wa leseni za uchungaji, akisema hatua hiyo inaweza kusaidia katika kulinda na kujenga taifa lenye misingi imara ya imani.
"Ningesema tu wizara ya mambo ya ndani...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na mwanasiasa maarufu, Dk Willbroad Slaa, wamefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Waziri wa Mambo ya Naani ya Nchi, Patrobas Katambi na wenzake sita.
TLS na wenzake wamefungua kesi hiyo Mahakama...
Najua mpo mtakao sema aliyepo Ikulu vs aliyepo ukonga, Mimi Sina maana hiyo jamanI wenye smartphone nawaombeni mtafute maelezo ya wakili Madereka na KAULI za Katambi aise Ina umiza sana sana sana sana
Yaani Waziri Katambi anavyotetea hoja dhidi makosa yake kisheria dhidi maagizo yake kwa IGP...
Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, Paternus Niyegira, ameibua mjadala mzito kufuatia kauli ya hivi karibuni ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi, inayoonekana kulenga kuzuia shughuli za vyama vya siasa nchini
Akizungumza kupitia kituo cha redio cha Crown FM, Niyegira...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi ammwagiza IGP Wambura na Makamanda wa Polisi Mikoa kufungia maeneo yote ambayo yatakuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani nyakati za usiku
Pia soma
Waziri Katambi: IGP Wambura atoe maelekezo kwa ma-RPC kuimarisha uratibu wa mipango ya kiusalama...
Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katamb ameagiza Jeshi la Polisi kusitisha vibali vya mikutano ya siasa kwa kipindi kisichojulikana.
Moto umekuwa mkali na uwanja umeinama kwa upande wa CCM hadi kuomba tena Msaada wa jeshi la polisi , ingawa wananchi tuliwaonya CCM kuwa vita hii ya...
jeshi
jeshi la polisi
katambikatambi marufuku vyama mikutano vyama siasa
kauli
marufuku mikutano vyama vya siasa
mikutano ya siasa
polisi
sheria
uhuru kufanya mikutano ya siasa
waziriwazirikatambi
Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM.
Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa.
kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
bei
ccm
chama
katambi
kati
kuku
kuongeza
kupanda
kupanda bei
kutumia
maana
mkuu
mpaka
mwenge
nayo
ng'ombe
nguruwe
nyama
nyama ya ng'ombe
swala
ufugaji
ufugaji wa kuku
wako
waziriwazirikatambi
Ni kweli kabisa Katiba ya JMT inaruhusu watanzania kujumuika na kufanya shughuli za kisiasa kwa mujibu wa ibara ya 21 ya katiba ya JMT.
Japokuwa kuna limititations kwa mujibu wa ibara ya 30 (5) wa katiba ya JMT.
Mpaka sasa hatujaona kama kuna uvunjifu wa amani au viashiria vya uvunjifu wa...
Pale bungeni unasema mmekamata silaha na madumu ya mafuta wakijipanga kuchoma moto siku ya maandamano.
Hizi kauli mnaongea mkiwa chumbani kwenu au mkiwa mpo bar.
Sio mara ya kwanza kumsikia Rais, Waziri, IGP na wewe sasa.
Kufuatia agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi kwa IGP Camillus Wambura kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, Mwanasheria wa kujitegemea, Jebra Kambole amesema agizo hilo lipo kinyume cha sheria na katiba ya Jamhuri ya Muungano.
Soma: Waziri Katambi apiga marufuku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.