Wana-JamiiForums,
Mnamo Juni 26, 2026, taifa limeshuhudia tamko zito kutoka bungeni jijini Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa agizo kwa Mkuu vya Jeshi la Polisi (IGP), Camillius Wambura, kusitisha mara moja na kwa muda usiojulikana utoaji wa vibali vya mikutano ya...
Mikutano ya hadhara Kwa vyama vya siasa ni takwa la kikatiba sio hisani wala huruma
Waziri au kiongozi yeyote kuzuiq mikutano ya vyama vya siasa ni kuwa kinyume cha katiba ya nchi
Katambi anavunja katiba Kwa maslahi ya nani?
Hatuwezi kuwa na viongozi wanaopinga na kuvunja katiba,
Nadhani huu...
Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amemwagiza IGP Wambura kuanza kuwahoji watu mbalimbali ambao wamekuwa waziwazi na ushahidi na vielelezo wakichochea uvunjaji wa amani katika taifa, kufanya vurugu
Waziri Katambi amesema, Tutaanza kuanzia kesho kuwahoji watu mbalimbali ambao...
Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi ameagiza wamiliki wa nyumba zote zinazotoa malazi kwa wananchi kuhakikisha zinasajili wageni wote wanapata huduma kwa kutumia kitambulisho cha NIDA, vinginevyo watachukuliwa hatua.
Katambi amesema 'Nitumie fursa hii, wamiliki wa hoteli...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche ameshangazwa na madai ya kuambiwa ana uchu wa madaraka
Heche amesema hayo Alhamisi Juni 25, 2026 wakati akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mpanda Mjini kwenye Viwanja vya Kashaulili.
‘’Huyo anayesema nina uchu wa...
Wakuu
Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi anawabatiza watu wenye mitazamo mbadala kama "wasaliti" na "choroko zisizoiva," huku akitumia mifano ya kidini kumweka Rais kwenye nafasi ya asiyekosea.
Waziri Katambi ameyasema hayo katika hafla ya kuhitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amewaasa wastaafu wa Idara ya Uhamiaji kujiepusha na anasa pindi watakapopata mafao yao, bali wajikite kufanya shughuli za uzalishaji ili kuondoa upweke.
Pia amewataka wastaafu hao kulinda afya zao, kumrudia Mungu na kuwa waaminifu katika ndoa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi (watano kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini wakati wa Kikao Kazi kilichofanyika Makao Makuu ndogo ya wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Watatu kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi. Picha na Wizara ya...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amekemea tabia ya kila mtu kuwa msemaji nchini hali inayopelekea utolewaji wa Matamko ambayo yamekua yakihatarisha hali ya Amani hapa nchini.
Ametoa kauli hiyo wakati wa Kikao na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,Maafisa na Askari...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobass Katambi (Mjomba), amepokea mchango wa pesa kutoka kwa watu wenye ulemavu mkoani Tabora kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge.
Mchango huu umeonyesha upendo na mshikamano wa dhati kutoka kwa jamii ya watu...
Hayo ndo majibu ya Naibu Waziri wa Kazi na Ajira kuhusu hatima ya kikokotoo kipya kwa wastaafu. Kuwa kafanya utafiti unaoonesha ni kikokotoo bora kuliko cha zamani. Hivyo, wastaafu wafanye utafiti ndo waulize wasilalamike tuu.
Mawaziri kama hawa hawatufai katika nchi inayotambua haki na maslahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.