ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Mikutano ya hadhara Kwa vyama vya siasa ni takwa la kikatiba sio hisani wala huruma
Waziri au kiongozi yeyote kuzuiq mikutano ya vyama vya siasa ni kuwa kinyume cha katiba ya nchi
Katambi anavunja katiba Kwa maslahi ya nani?
Hatuwezi kuwa na viongozi wanaopinga na kuvunja katiba,
Nadhani huu ndo muda mzuri wa mahakama kuonyesha meno yake na kuwa ni mhimili huru
Zimekuwepo tetesi kuwa mahakama zinaendeshwa Kwa simu Moja tu pamoja na vi memo kwenye kutoa haki
Mahakama kazi Kwenu