John Heche amjibu Waziri Katambi, "Eti sina kazi ya kufanya, nina uchu wa madaraka"

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche ameshangazwa na madai ya kuambiwa ana uchu wa madaraka

Heche amesema hayo Alhamisi Juni 25, 2026 wakati akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mpanda Mjini kwenye Viwanja vya Kashaulili.

‘’Huyo anayesema nina uchu wa madaraka, yeye alikuwa Mwenyekiti wa Vijana wa CHADEMA akajiuzulu akaenda CCM kutafuta madaraka, halafu yeye anasema mimi nina uchu yeye hana?.’’ Alisema Heche.

Soma Pia: John Heche: Mwambie Samia, Heche yuko tayari kwa mdahalo na wewe, ndio level zangu, siyo Kihongosi

Nimemsikia katambi amesema kuanzia Kesho IGP ataanza kumuhoji Mwaipopo kwa clip zilizorushwa mitandaoni kwa vitendo vya kumiliki kikundi cha Kihalifu cha MBWA MWITU ambacho kimetapakaza vijana kwenye sehemu zote zenye mijumiiko na kama kikibaini mtu ambaye anachochea vurugu watamtairi bila GANZI.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche ameshangazwa na madai ya kuambiwa ana uchu wa madaraka

Heche amesema hayo Alhamisi Juni 25, 2026 wakati akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mpanda Mjini kwenye Viwanja vya Kashaulili.

‘’Huyo anayesema nina uchu wa madaraka, yeye alikuwa Mwenyekiti wa Vijana wa CHADEMA akajiuzulu akaenda CCM kutafuta madaraka, halafu yeye anasema mimi nina uchu yeye hana?.’’ Alisema Heche.

Yes,
heche ni mshamba, hana kazi na ndio maana kuikomboa Crown yake TRA kakwama mpaka sasa 🐒
 
Back
Top Bottom