PreGE2025 Naibu Waziri Katambi achangiwa pesa ya kuchukua fomu ya Ubunge

PreGE2025 Naibu Waziri Katambi achangiwa pesa ya kuchukua fomu ya Ubunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobass Katambi (Mjomba), amepokea mchango wa pesa kutoka kwa watu wenye ulemavu mkoani Tabora kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge.

Mchango huu umeonyesha upendo na mshikamano wa dhati kutoka kwa jamii ya watu wenye ulemavu, ambao wameamua kumuunga mkono Mhe. Katambi katika azma yake ya kuwania nafasi hiyo muhimu.

Akizungumza baada ya kupokea mchango huo, Mhe. Katambi alieleza namna atakavyowapigania watu wenye ulemavu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kuwataka wengine kuiga mfano huu wa upendo na mshikamano.

 
Hamna kitu humo, wezi wa kura wazoefu.
 
Mabadiliko yafanyike,washindane CCM na CHADEMA na vyama vingine,wale wanaotuhumiwa kuwapa kampani wakae pembeni,turudi hapa baada ya mbungi.
 
Ni bora akaokoa pesa na muda wake. Yule jamaa Steven Masele akichukua fomu safari hii atamgaragaza asubuhi tu. Akumbuke mtetezi wake hayupo!
 
Ni bora akaokoa pesa na muda wake. Yule jamaa Steven Masele akichukua fomu safari hii atamgaragaza asubuhi tu. Akumbuke mtetezi wake hayupo!
Huyu ni mpuuzi sana! Badala ya kuwasaidia walemavu, yeye ndio anasaidiwa! Akumbuke jiwe hayupo! Pumbavu sana!
 
Back
Top Bottom