Jebra Kambole: Agizo la Waziri Katambi lipo kinyume cha Sheria

Elias Msuya

Platinum Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
267
Reaction score
1,014
Kufuatia agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi kwa IGP Camillus Wambura kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, Mwanasheria wa kujitegemea, Jebra Kambole amesema agizo hilo lipo kinyume cha sheria na katiba ya Jamhuri ya Muungano.

Soma: Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote

Kambole.png

Maelezo ya Wakili Jebra Kambole:
"Ninachoweza kusema ni kwamba, alichozungumza sio sahihi na ni kinyume cha katiba. Kwa sababu vyama ambavyo vimesajiliwa kwa mujibu wa sharia na vina haki ya kikatiba ya kufanya mikutano ya hadhara na kufanya siasa.

Kwa hiyo anapotokea ofisa wa serikali kama Patrobas Katambi na kusema kwamba anazuia mikutano ya vyama vya siasa au anamwelekeza IGP kwa mtindo ambao amefanya yeye kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, inakuwa sio sawa kwa sababu anazuia utekelezaji wa sheria.

Kwanza Waziri Katambi hana hayo mamlaka, lakini pia, mtu anapotaka kufanya mkutano wa kisiasa anatoa taarifa kwa mujibu wa kifungu cha 43 cha Sheria ya Polisi na Polisi waWsaidizi, anatoa hicho taarifa kwa OCD au kama ni kwa ngazi ya mkoa kwa RPC husika ndani ya saa 48 kabla hajaanza shughuli yake.

Huyo ofisa wa polisi anafanya assessment kutokana na eneo lake. Akiona kama kuna sababu ya kuzuia mkutano ndio atatoa taarifa ya kuzuia mkutano. Sasa hakuwezi kuwa na zuio la ujumla. Hakuwezi kuwa Tanzania nzima inaathiriwa na ambayo anaisema yeye.

Yaani huwezi ukaniambia hiyo hatari iko Dar es Salaam, iko Mtwara, iko Tanga, iko kila maeneo. Yule OCD wa lile eneo ndio ambaye anajua kwenye eneo lake kuna hali gani, ndio anaweza akatoa hilo zuio lakini sio IGP, wala sio waziri.

Sheria haimtaji waziri wala IGP inamitaja OCD kwenye lile eneo husika ndio anaweza akazuia kutokana na eneo lake kwa sababu Tanzania ni kubwa hali zinatofautiana sio hali moja.

Vilevile hakuwezi kuwa na blanket zuio la namna hiyo. Yaani zuio ambalo lina ujumla bila kujali eneo husika au mkutano husika kwa sababu lazima kuwe kuna self assessment kutokana na eneo husika.

Jambo la pili anazuia kwa sababu gani? Amesema sababu ni taharuki, lakini hajaeleza hiyo taharuki ni ipi? Ya kiwango gani? Ya eneo gani?

Kama ni maadhimisho ya Sabasaba, sidhani kama Tanzania nzima inafanya shughuli ya saba saba.

Halafu, Sio vyama ambavyo vimejitokeza kwenye kuongoza hayo maandamano. Kwa hiyo unavyoviadhibu vyama vya siasa kwa ajili ya msimamo wa watu wengine inakuwa sio sawa.

Havijatokeza hadharani kwamba vyenyewe ndio vinaongoza hayo maandamano. Hata ukisema kwamba kwa sababu ya ya Sabasaba sijui ambayo bado haijafika.

Ukisema kwa sababu ya ya mikusanyiko ya watu, mikusanyiko ya watu ipo tu. Hata leo ukienda Kariakoo unakuta watu wamejaa. Kwa hiyo ukisema kwamba eti mikutano ya vyama vya siasa ndio unaenda kutafuta kuchambua wahalifu ni kuzuia tu shughuli halali za vyama vya siasa.

Ni kuzuia joto la kisiasa ambalo limeletwa na upinzani saa hizi na ukishindwa kujibu hoja za kisiasa ambazo zinaibuliwa kuhusu utawala mbovu, kuhusu katiba mpya.

Kama ni mikusanyiko, wtu wanakusanyika tu mbona Kariakoo hapo watu wanatembea mle mle unachambua wahalifu na wanaendelea na shughuli zao. Lakini pia ukisema kwamba eti anazuia mikutano ya vyama vya siasa kwa sababu kuhusu wananchi wajenge uchumi, sidhani kama hilo ni hoja kwa sababu...

Kila mwananchi ana shughuli zake. Na kuna watu wengine ambao shughuli zao ni siasa, hivyo waache wafanye kwa sababu hiyo ndio shughuli yao. Ukiamua wasifanye siasa wakafanye nini sasa?

Ndio maana anasema hivi, hauwezi yaani huwezi kuzuia haki za binadamu kutoa zuio ambalo ni blanket si blanket sema yaani halina mipaka kimuda, halina mipaka ya kijiografia, hakina halina mipaka ya kimazingira. Hilo zuio ni batili.

Haliwezi kuwa sawa. Kwa hiyo kwa hiyo zuio la la kuzuia haki za msingi za binadamu moja lazima hilo liwe limeainishwa na sheria.

Kwanza zuio hilo haijaainishwa na sharia na pia lazima liwe lina linatafsirika lina mipaka. Hakuna hilo hakuna hiyo hiyo mipaka. Lakini cha pili, ni lazima lazima liwe lina sababu ya msingi (Legitimate aim). Sababu ya kuzuia mikutano ni ipi? Je hiyo sababu ni ya msingi? Yote inasema hiyo sababu sio ya msingi.

Je, hakuna njia nyingine ya kuzuia hilo jambo ambalo unalisema wewe kuliko kuzuia hiyo haki ya binadamu? Yaani kwa mfano ukasema kuna kuna kuna tishio la kiusalama... mkamate anayetishia, lakini anatusishia A unamzuia B.

Kusema kwamba eti mikutano ya vyama vya siasa isifanyike kwa sababu eti unashindwa utashindwa kuchambua wahalifu... Mbona Kariakoo wapo watu wanatembea mle mle mnachambua wahalifu?

Kwa hiyo huwezi ukasema eti unashindwa kuchambua wahalifu ndio unaongea vitu vya namna hiyo, lakini ndio maana nasema siasa ni kazi kama kazi zingine na hazizuii watu kufanya kazi kwa mfano wanafanya mkutano Tanga, wewe Bukoba unazuilika nini kufanya kazi zako?

Wanafanya kazi wanafanya mkutano Sumbawanga... wewe uko Mwanza unazuilika nini kufanya shughuli zako? Kwa hiyo kama ni ni kushindwa kwa hoja za kisiasa waseme...

Tunarudi kule kule mimi mtazamo wangu ni kwamba tunarudi kule ambapo tumetoka ambapo... kipindi cha Magufuli (Hayati Rais John Magufuli) cha kuzuia mikutano na dhahama za kisiasa. Kwa hiyo kuzuia mikutano na dhahama za kisiasa sio jambo zuri lenye afya ya kidemokrasia. Kwa hiyo inasababisha kuendelea kuonyesha kwamba Tanzania sio nchi ya kidemokrasia, sio nchi ya kidemokrasia. kwa sababu mwanasiasa anaweza akazuia vyama vingine vifanye shughuli za kisiasa.

Kisheria hapo wanasiasa walioathiriwa, wanaweza wakaenda wakafungua kesi mahakamani... labda kwa hati ya dharura. Wanaweza wakachukua... eeh... si wanaweza wakachukua hatua za kisheria dhidi ya waziri... dhidi ya IGP... dhidi ya mtu yeyote ambaye atazuia shughuli zao za kisiasa.
 
Attachments

Tunaposema kuwa CCM ilishakoma kuwa chama cha siasa tunamaanisha, siasa zimewashinda wanavyoona muitikio wa wananchi kwenye mikutano ya Chadema wanapata jibu kuwa Chadema wamewazidi kwa ushawishi kwa wananchi sasa kuficha aibu yao ya kukataliwa wanaamua kutumia bunduki na mabomu ya polisi kuzuia mikutano ya kisiasa.
 
Kufuatia agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi kwa IGP Camillus Wambura kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, Mwanasheria wa kujitegemea, Jebra Kambole amesema agizo hilo lipo kinyume cha sheria na katiba ya Jamhuri ya Muungano.

Soma: Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote

View attachment 3616226

Mwambieni Mwabukusi na TLS waende mahakamani, Mwabukusi kazi yake kubweka tu kwenye mitandao ya kijamii na kulalamika,ajifunze kwa wenzake wale wa Kenya KLS akina Kanjama, Havi,Faith Odhiambo na wengineo ambao hupambana mahakamani kuhusu mambo ya nchi yao na si kubweka tu mitandaoni,sijawahi kumuona Mwabukusi akiwa amesimama mahakamani kuwakilisha TLS kwenye mambo muhimu ya kitaifa.
 
CCM imeshakufa. Siyo tena chama cha siasa.
Chama Cha Mauwaji, wanataka watu waandamane kupinga huu ukandamizaji wawauwe kwa mabunduki.
 
Kuna watu wanajiamulia mambo sana. Mkurupukaji ngoja wamkurupukie na yeye
 
CCM
Screenshot_20260604-133242~2.png
 
wenye haki ya kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa ni wale tu waliochaguliwa na wapiga kura na wenye dhamana za kuwatumikia wananchi, kinyume na hapo hakuna mwenye haki ya kufanya hivyo 🐒
 
Kwa yale yaliyojili October 29 mwaka jana, Samia sasa kawa muoga, akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu ana "delegate sensitive decision" kwa IGP kupitia Katambi kinyume na sheria.

Naye kikaragosi Katambi anafanya hivyo tena ndani ya kikao rasmi cha Bunge. Ama kweli nyani akitaka kufa miti yote huteleza.
 
Hata mimi Bush Lawyer nimeona wazi hilo agizo limejaa kila aina ya uhuni. Huyu Katambi aburizwe mahakamani haraka iwezekanavyo. Kwa sababu yeye ndiyo amezua hiyo taharuki anayoisema.
Katambi katumwa tu na samuya, mikutano ya heche ilikuwa inamkera sana hasa kipengele cha 29 octoba!

Na bado kudadek
 
Back
Top Bottom