Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Msikieni huku mchangisha michango
Msanii na mdau wa sanaa Steve Nyerere amependekeza Wizara ya Mambo ya Ndani kusitisha utoaji wa leseni za uchungaji, akisema hatua hiyo inaweza kusaidia katika kulinda na kujenga taifa lenye misingi imara ya imani.
"Ningesema tu wizara ya mambo ya ndani isimamishe kutoa leseni za wachungaji... kwa kuliokoa hili taifa lazima tukubaliane tusiogope tunataka kujenga taifa imani tusitupishe leseni za uchungaji."
"Tusitupishe na zile zilizokuwepo zile zote tuzipitie ni kweli wanatoa huduma au kuna mambo huko yanapita ya kuharibu maadili?"
"Haiwezi leo umekuwa dalali kwa sababu unajua kufokafoka tu... unaamini unaweza kumconvince mtu kudanganya danganya tu ukiulizwa hata bibilia ipoje huijui.
"Vibali vyake vya uchungaji vimekuwa vinatolewa ovyo... Mtu ana nyumba yake kakata chumba kimoja kaweka kanisa huku chumba kingine anakaa na familia yake. Sio sawa."