Wakili Madereka Vs Waziri Katambi, utabaini serikalini Kuna poyoyo, na nje ya serikali Kuna smart brain Ina inaliza sana jamani

Wakili Madereka Vs Waziri Katambi, utabaini serikalini Kuna poyoyo, na nje ya serikali Kuna smart brain Ina inaliza sana jamani

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Najua mpo mtakao sema aliyepo Ikulu vs aliyepo ukonga, Mimi Sina maana hiyo jamanI wenye smartphone nawaombeni mtafute maelezo ya wakili Madereka na KAULI za Katambi aise Ina umiza sana sana sana sana

Yaani Waziri Katambi anavyotetea hoja dhidi makosa yake kisheria dhidi maagizo yake kwa IGP unaweza ukalia hasa ukimfatilia wakili Madereka anavyochambua Sheria.

Nimeendelea kuamini serikalini Kuna mapoyoyo na private kuna vichwa makini.
 
Back
Top Bottom