nje ya serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wakili Madereka Vs Waziri Katambi, utabaini serikalini Kuna poyoyo, na nje ya serikali Kuna smart brain Ina inaliza sana jamani

    Najua mpo mtakao sema aliyepo Ikulu vs aliyepo ukonga, Mimi Sina maana hiyo jamanI wenye smartphone nawaombeni mtafute maelezo ya wakili Madereka na KAULI za Katambi aise Ina umiza sana sana sana sana Yaani Waziri Katambi anavyotetea hoja dhidi makosa yake kisheria dhidi maagizo yake kwa IGP...
  2. Inside10

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Chama Cha Wanasheria wa Serikali: Hakuna Anayeijua Sheria Kuliko Wakili wa Serikali

    Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria. Akizungumza leo Ijumaa, Septemba...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Ningependa Tundu Lissu ashinde Uenyekiti CHADEMA kwa faida ya demokrasia ya Tanzania na hata kwa CCM yenyewe

    Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema: "Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote...
  4. USSR

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ukiwa nje ya Serikali unaona mambo ni rahisi, ukiingia mambo ni magumu

    "Nimesikia watu huko kwenye mitandao wanalalamika kuwa nachukua watu hodari na kuwaingiza Serikalini kuwa naua sekta binafsi lengo sio kuua tunataka kuchanganya na kupata ubora maana ukiwa nje unaona huku Serikalini ni mambo ni rahisi lakini ukiingia unakuta magumu sana," alisema Rais Samia...
Back
Top Bottom