GE2025 Rais Chama Cha Wanasheria wa Serikali: Hakuna Anayeijua Sheria Kuliko Wakili wa Serikali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933

Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria.

Akizungumza leo Ijumaa, Septemba 12, 2025, jijini Dodoma katika Kikao cha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wahariri wa vyombo vya habari, Bavoo amesema baadhi ya watu wamekuwa wakitoa tafsiri potofu za sheria katika majukwaa mbalimbali bila kuwa na utaalamu wowote, jambo linaloweza kuwachanganya wananchi na hata kuchochea vurugu.

“Hakuna mtu nje ya serikali anayeijua sheria kuliko sisi. Sisi ndio hupitia, kuchambua na kuhakikisha kila sheria inazingatia maslahi ya taifa kabla haijafika popote. Niwaombe wasio na uelewa juu ya sheria waache kupotosha umma,” amesema Bavoo.

Bavoo amesisitiza kuwa mawakili wa serikali ni walinzi wa sheria kwa niaba ya serikali, na jukumu lao ni kuhakikisha kila sheria inayopitishwa ina msingi imara na inalinda maslahi ya taifa.

Aidha, amewaonya wale wanaopotosha sheria bila weledi kuwa kitendo hicho kinadhoofisha imani ya wananchi kwa mifumo ya kisheria na kuibua tafsiri zisizo sahihi za namna sheria zinavyofanya kazi.

Katika maelezo yake, Bavoo pia ametoa wito kwa mawakili wa serikali kushirikiana na serikali kufanya tathmini makini ya sheria zote, hasa zile zinazohusu mikataba ya rasilimali za taifa, ili kuhakikisha mikataba hiyo inaleta manufaa kwa Watanzania wote.
 
Walishawahi shinda kesi gani hawa viumbe
 
Huyu jamaa ni mjinga sana.

Badala ya kualika wananchi hata wasio wanasheria kuchangia zaidi utunzi na ubadilishaji sheria, ili walio ndani ya mfumo wasiwe na echo chamber, yeye anaweka censorship kimsingi.

Ujinga mtupu.

This is basically argument from authority logical fallacy.
 
“Hakuna mtu nje ya serikali anayeijua sheria kuliko sisi. Sisi ndio hupitia, kuchambua na kuhakikisha kila sheria inazingatia maslahi ya taifa kabla haijafika popote. Niwaombe wasio na uelewa juu ya sheria waache kupotosha umma,” amesema Bavoo.
Professor David Marcello discusses the importance of legislative drafting, finding drafting opportunities, and how broadly one should craft legislation..

View: https://m.youtube.com/watch?v=wnZOefjHtUA
 
Back
Top Bottom