GE2025 Rais Chama Cha Wanasheria wa Serikali: Hakuna Anayeijua Sheria Kuliko Wakili wa Serikali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

KIKAO KAZI KATI YA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI​

View: https://m.youtube.com/watch?v=C6NVF-cqZHg

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali walaumu bloggers na mitandao ya kijamii kwa ku trend na habari, yaani tunaandika yale mamlaka wasiyotaka kusikia lakini pia Ofisi ya Mwanasheria Mkuu awakosoa vyombo vikubwa media House kukosa kasi ya kwenda waliyonayo wanamitandao ya kijamii

Wahariri na Waandishi wa habari waaswa jinsi ya kuripoti.

* Naona kesi ya uhaini imegusa vyombo vya serikali
 
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria.

Akizungumza leo Ijumaa, Septemba 12, 2025, jijini Dodoma katika Kikao cha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wahariri wa vyombo vya habari, Bavoo amesema baadhi ya watu wamekuwa wakitoa tafsiri potofu za sheria katika majukwaa mbalimbali bila kuwa na utaalamu wowote, jambo linaloweza kuwachanganya wananchi na hata kuchochea vurugu.

“Hakuna mtu nje ya serikali anayeijua sheria kuliko sisi. Sisi ndio hupitia, kuchambua na kuhakikisha kila sheria inazingatia maslahi ya taifa kabla haijafika popote. Niwaombe wasio na uelewa juu ya sheria waache kupotosha umma,” amesema Bavoo.

Bavoo amesisitiza kuwa mawakili wa serikali ni walinzi wa sheria kwa niaba ya serikali, na jukumu lao ni kuhakikisha kila sheria inayopitishwa ina msingi imara na inalinda maslahi ya taifa.

Aidha, amewaonya wale wanaopotosha sheria bila weledi kuwa kitendo hicho kinadhoofisha imani ya wananchi kwa mifumo ya kisheria na kuibua tafsiri zisizo sahihi za namna sheria zinavyofanya kazi.

Katika maelezo yake, Bavoo pia ametoa wito kwa mawakili wa serikali kushirikiana na serikali kufanya tathmini makini ya sheria zote, hasa zile zinazohusu mikataba ya rasilimali za taifa, ili kuhakikisha mikataba hiyo inaleta manufaa kwa Watanzania wote.
Ni mara ngapi serikali imekuwa ikishindwa kesi mahakamani?
 
.........Mikataba mingapi serikali yetu imeingia chaka mwisho wa siku tunaangukia pua, ujuaji wao wa sheria wanautumia wapi?

Kwanza huyu jamaa wanasheria wa serikali walimchagua vipi kuwa Rais wao?
 
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria.

Akizungumza leo Ijumaa, Septemba 12, 2025, jijini Dodoma katika Kikao cha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wahariri wa vyombo vya habari, Bavoo amesema baadhi ya watu wamekuwa wakitoa tafsiri potofu za sheria katika majukwaa mbalimbali bila kuwa na utaalamu wowote, jambo linaloweza kuwachanganya wananchi na hata kuchochea vurugu.

“Hakuna mtu nje ya serikali anayeijua sheria kuliko sisi. Sisi ndio hupitia, kuchambua na kuhakikisha kila sheria inazingatia maslahi ya taifa kabla haijafika popote. Niwaombe wasio na uelewa juu ya sheria waache kupotosha umma,” amesema Bavoo.

Bavoo amesisitiza kuwa mawakili wa serikali ni walinzi wa sheria kwa niaba ya serikali, na jukumu lao ni kuhakikisha kila sheria inayopitishwa ina msingi imara na inalinda maslahi ya taifa.

Aidha, amewaonya wale wanaopotosha sheria bila weledi kuwa kitendo hicho kinadhoofisha imani ya wananchi kwa mifumo ya kisheria na kuibua tafsiri zisizo sahihi za namna sheria zinavyofanya kazi.

Katika maelezo yake, Bavoo pia ametoa wito kwa mawakili wa serikali kushirikiana na serikali kufanya tathmini makini ya sheria zote, hasa zile zinazohusu mikataba ya rasilimali za taifa, ili kuhakikisha mikataba hiyo inaleta manufaa kwa Watanzania wote.
Duuuuuuuuuuh
 
Idiots aren’t in short supply in Chura Kiziwi’s government!
 
kuna kitu najiuliza hapa kwa hio wanasheri ambao hawajaajiriwa serikalini hawa hawajui sheria.yani daktari au nesi alie ajiriwa serikalini anajua kutibu kuliko daktari asiefanyakazi serikalin?
 
Mawakili wa serikali wangekuwa wanaajiriwa kwa mikataba,wenye records mbovu wanakaa kando na wengi ni kundi hili.
 
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria.

Akizungumza leo Ijumaa, Septemba 12, 2025, jijini Dodoma katika Kikao cha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wahariri wa vyombo vya habari, Bavoo amesema baadhi ya watu wamekuwa wakitoa tafsiri potofu za sheria katika majukwaa mbalimbali bila kuwa na utaalamu wowote, jambo linaloweza kuwachanganya wananchi na hata kuchochea vurugu.

“Hakuna mtu nje ya serikali anayeijua sheria kuliko sisi. Sisi ndio hupitia, kuchambua na kuhakikisha kila sheria inazingatia maslahi ya taifa kabla haijafika popote. Niwaombe wasio na uelewa juu ya sheria waache kupotosha umma,” amesema Bavoo.

Bavoo amesisitiza kuwa mawakili wa serikali ni walinzi wa sheria kwa niaba ya serikali, na jukumu lao ni kuhakikisha kila sheria inayopitishwa ina msingi imara na inalinda maslahi ya taifa.

Aidha, amewaonya wale wanaopotosha sheria bila weledi kuwa kitendo hicho kinadhoofisha imani ya wananchi kwa mifumo ya kisheria na kuibua tafsiri zisizo sahihi za namna sheria zinavyofanya kazi.

Katika maelezo yake, Bavoo pia ametoa wito kwa mawakili wa serikali kushirikiana na serikali kufanya tathmini makini ya sheria zote, hasa zile zinazohusu mikataba ya rasilimali za taifa, ili kuhakikisha mikataba hiyo inaleta manufaa kwa Watanzania wote.
Mbona hamuwezi kutafsiri sheria? Hamuwezi lolote, hamjui lolote mapumbavu nyiye. Hamjui lolote wajinga nyie. Mnaficha makaratasi ya mahakama yanachezewa. Mbona mikataba yote imefeli kwa sababu ya upumbavu wenu. Tumedaiwa mara ngapi na tumeshindwa huko duniani, ndege za ATC zimeshikwa na tukalipishwa, Mlikuwa wapi paka ninyi?Tangu lini watu wamekuwa treated equal, Wewe Samia, Mpango na Majaliwa wameitwa mahakamani mmewakataaa, sasa mnasema sheria zipo equal kwa kila mtu, mtaendelea kusema uongo hadi lini?
 
Sasa nimeelewa kwanini kina Lissu,Madeleka,Kibatala n.k huwa wanajiokotea 3points kiulaini kumbe huyu ndio raisi mwenyewe.

Ndio maana wazee wetu walitushauri wakati mwingine ni heri usiongee ili watu wasijue uwezo wa akili yako.
 
Rubbishi!. Atutajie kesi yoyote ya kimataifa ambayo wamewahi kushinda ili kuokoa mabilioni ya pesa tunazobambikiwa na watu wajanja. Lissu wiki yote hii anawatoa kamasi leo mtu kutoka mbugani huko anajinadi kuwa wakili wa Serikali? 😳😟 🗑️
 
Aache ujinga, wakishindwa kutafsiri sheria ni lazima watu waseme.
 
Huyu naye ni katuga mwingine,

Matumizi ya jina la "kihiyo" kwa sasa Lina haki ya kupumzishwa ili vihiyo waitwe "katuga" au " vituga".
 
Mayalla njoo huku umsikilize wakili msomi mwenzio...hahaha...
Eti sisi?....low I.Q ni tatizo sana....vipi kuhusu aliekufundisha chuo kikuu?...
Kihiyo kweli huyu jamaa
Yani kilaza full
 
Huyu ni mwanasheria klaza kama hao wenzake waliojazana Serikalini.

Kwa kweli kusema kuwa eti hakuna anayejua sheria kama wakili wa Serikali, amedhihirisha ujinga mkubwa alio nao. Kwani sheria zinafundishwa kwenye ofisi za Sefikali?

Mawakili wa Serikali ni mambumbu wa sheria kwa sababu they do not practise their profession. Wanafanya kazi kwa kuelekezwa na watu wasio na utaalam wa sheria. Ni sawa na mahakimu ambao huwa wanasubiri maelekezo toka Serkalini, watoe hukumu ya namna gani kunapokuwa na kesi inayoigusa Serikali au watawala.

Ukilaza wa mawakili wa Serikali huwa unadhihirika wazi wakienda kwenye mahakama za kimataifa ambako majaji wanafanya kazi kwa weledi, siyo kusubiria kupewa maelekezo ya watawala.

Wanahabari walitakiwa kumhoji huyo wakili kilaza, atoe orodha ya kesi ambazo Tanzania imewahi kushinda kwenye mahakama za nje kwa kuwailishwa na mawakili wa Serikali. Kuna wakati, kwa serikali kutambua kuwa mawakili wake hawana weledi, mpaka walikuwa wanatafuta mawakili binafsi kwenda kuiwakilisha Tanzania, kwa sababu ukiwapeleka hao mawakili wa aina ya Katuga una uhakika wa 100% kushindwa na kuabika sana.
 
Back
Top Bottom