Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
- Thread starter
- #81
Nilikuwa nafuatilia hii kesi ya lissu live kwenye page za Twitter nimesikitika sana na huyu Wakili Wa serikaliCompetitiveness ya mtu inaonekana field si kwenye maneno ya vyombo vya habari
Ww ni mwanasheria , dokta au engineer tutakuona field umahiri wako
Else ww ni kanjanja mwenye cheti
Huyo jamaa anafanya damage control, too bad watu wameshajua wanasheria vihiyo na makanjanja ni wapi