GE2025 Rais Chama Cha Wanasheria wa Serikali: Hakuna Anayeijua Sheria Kuliko Wakili wa Serikali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria.

Akizungumza leo Ijumaa, Septemba 12, 2025, jijini Dodoma katika Kikao cha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wahariri wa vyombo vya habari, Bavoo amesema baadhi ya watu wamekuwa wakitoa tafsiri potofu za sheria katika majukwaa mbalimbali bila kuwa na utaalamu wowote, jambo linaloweza kuwachanganya wananchi na hata kuchochea vurugu.

“Hakuna mtu nje ya serikali anayeijua sheria kuliko sisi. Sisi ndio hupitia, kuchambua na kuhakikisha kila sheria inazingatia maslahi ya taifa kabla haijafika popote. Niwaombe wasio na uelewa juu ya sheria waache kupotosha umma,” amesema Bavoo.

Bavoo amesisitiza kuwa mawakili wa serikali ni walinzi wa sheria kwa niaba ya serikali, na jukumu lao ni kuhakikisha kila sheria inayopitishwa ina msingi imara na inalinda maslahi ya taifa.

Aidha, amewaonya wale wanaopotosha sheria bila weledi kuwa kitendo hicho kinadhoofisha imani ya wananchi kwa mifumo ya kisheria na kuibua tafsiri zisizo sahihi za namna sheria zinavyofanya kazi.

Katika maelezo yake, Bavoo pia ametoa wito kwa mawakili wa serikali kushirikiana na serikali kufanya tathmini makini ya sheria zote, hasa zile zinazohusu mikataba ya rasilimali za taifa, ili kuhakikisha mikataba hiyo inaleta manufaa kwa Watanzania wote.
Nchi ina WAPUMBAVU wengi sana.

Wanatunga sheria bila utaratibu.

Huyu jamaa ni imbecile
 
Kwahiyo Ni yeye anapowalaza na viatu ni kwamba wale ndo vipanga wao?

Hao wa kawaida wakoje sasa?
 
Kuna mtu humu aliuliza 'mbona mawakili wa serikali hawana akili? No. Alisema, "mbona serikali inaajiri mawakili wabovu"
Sasa mmemsikia rais wao LIVE bila chenga.
I rest my case.
 
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria.

Akizungumza leo Ijumaa, Septemba 12, 2025, jijini Dodoma katika Kikao cha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wahariri wa vyombo vya habari, Bavoo amesema baadhi ya watu wamekuwa wakitoa tafsiri potofu za sheria katika majukwaa mbalimbali bila kuwa na utaalamu wowote, jambo linaloweza kuwachanganya wananchi na hata kuchochea vurugu.

“Hakuna mtu nje ya serikali anayeijua sheria kuliko sisi. Sisi ndio hupitia, kuchambua na kuhakikisha kila sheria inazingatia maslahi ya taifa kabla haijafika popote. Niwaombe wasio na uelewa juu ya sheria waache kupotosha umma,” amesema Bavoo.

Bavoo amesisitiza kuwa mawakili wa serikali ni walinzi wa sheria kwa niaba ya serikali, na jukumu lao ni kuhakikisha kila sheria inayopitishwa ina msingi imara na inalinda maslahi ya taifa.

Aidha, amewaonya wale wanaopotosha sheria bila weledi kuwa kitendo hicho kinadhoofisha imani ya wananchi kwa mifumo ya kisheria na kuibua tafsiri zisizo sahihi za namna sheria zinavyofanya kazi.

Katika maelezo yake, Bavoo pia ametoa wito kwa mawakili wa serikali kushirikiana na serikali kufanya tathmini makini ya sheria zote, hasa zile zinazohusu mikataba ya rasilimali za taifa, ili kuhakikisha mikataba hiyo inaleta manufaa kwa Watanzania wote.

Wengi wao hawa ndio wanaoliangamiza taifa toka enzi na enzi kama watu kama huyu, Johari, Chenge.
 
📌📌📌📌📌📌

IMG-20250912-WA0041.jpg
 
Sasa nimewaelewa watunga Sheria kandamizi Kama Ile ya kutoshitakiwa kwa spika, waziri mkuu na usalama wa taifa hata wakivunja katiba ya jmt waziwazi.
Hiki kitengo Masaju akivuruge akiunde upya kwani kinatia doa idara zote za kisheria ikiwepo mahakama.
 
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria.

Akizungumza leo Ijumaa, Septemba 12, 2025, jijini Dodoma katika Kikao cha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wahariri wa vyombo vya habari, Bavoo amesema baadhi ya watu wamekuwa wakitoa tafsiri potofu za sheria katika majukwaa mbalimbali bila kuwa na utaalamu wowote, jambo linaloweza kuwachanganya wananchi na hata kuchochea vurugu.

“Hakuna mtu nje ya serikali anayeijua sheria kuliko sisi. Sisi ndio hupitia, kuchambua na kuhakikisha kila sheria inazingatia maslahi ya taifa kabla haijafika popote. Niwaombe wasio na uelewa juu ya sheria waache kupotosha umma,” amesema Bavoo.

Bavoo amesisitiza kuwa mawakili wa serikali ni walinzi wa sheria kwa niaba ya serikali, na jukumu lao ni kuhakikisha kila sheria inayopitishwa ina msingi imara na inalinda maslahi ya taifa.

Aidha, amewaonya wale wanaopotosha sheria bila weledi kuwa kitendo hicho kinadhoofisha imani ya wananchi kwa mifumo ya kisheria na kuibua tafsiri zisizo sahihi za namna sheria zinavyofanya kazi.

Katika maelezo yake, Bavoo pia ametoa wito kwa mawakili wa serikali kushirikiana na serikali kufanya tathmini makini ya sheria zote, hasa zile zinazohusu mikataba ya rasilimali za taifa, ili kuhakikisha mikataba hiyo inaleta manufaa kwa Watanzania wote.
Iptl, kadco,net group,escrow, hela zao au zetu au standard charted bank ya Hong Kong, , Kesi za Uhaini ya machame, ya Mbowe, ,
 
Wame panic ! ha ha ha Lissu ni taabu kweli kweli.
Wajibu hoja za Lissu , Umma utawaelewa si mikutano na wana habari

JokaKuu Kalamu
Ni zaidi ya ku'panic', kwa sababu matumaini yao yote yapo kwa Tundu Lissu kutokuwa huru ili mipango yao haramu ya kulazimisha waendelee madarakani ikamilike.

Endapo mahakama itaamua kutenda HAKI katika uongozi wao mpya; huo utakuwa ndio mwanzo mpya kwa nchi yetu.

Wanayo hofu kubwa kupita kiasi juu ya Tundu Lissu
Bahati mbaya kwao, ni wao walimpa uwanja kwa kumweka ndani na yeye mwenyewe kuamua kujitetea mahakamani

Huyu ni Tundu Lissu ambaye waTanzania wengi walikuwa hawamfahamu uwezo wake; hata kama walijuwa ni manusura wa awamu ya Magufuli.
 
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria.
Kujuwa ni kiasi gani nchi yetu ilivyo vurugika, ni kuwasikiliza hawa wachumia tumbo wakati kama huu.
Huyu 'Bravoo' hana la ziada hapa, ili kujiweka mbele ili asikike kwa kutarajia mavuno ya uharofu anaoufanya Samia na Genge lake; uhalifu wa kulazimisha kuwatawala waTanzania bila ya ridhaa yao.

Yeye anafikiri sheria ni 'sayansi ya maroketi'?
Mbona kila kitu kinaeleweka na yeyote mwenye uwezo wa kufuatilia yanayo endelea mahakamani.

Yeye anafikiri, kwa vile alipata shida sana kupata hiyo digrii yake, ambayo haikumwezesha kuwa na uwezo wa kuelewesha na wengine ambao hawakusoma fani hiyo katika lugha rahisi; basi anafikiria wote walio soma sheria ni vihiyo kama yeye?
 
Duh!
Huyu Bravoo naona ni kielelezo kizuri sana cha uozo uliopo katika kila eneo la utendaji serikalini.
Nilikuwa sijasikiliza hiyo video nilipo andika hayo huko juu.

Kawaita waandishi wa habari kuwaeleza kitu gani hasa! Kujisifu kuwa wao ndio waandishi wa sheria?
Huyu ni sampuli iliyo wazi kabisa; kuwa ni wahitimu wa sheria kihiyo.
 
Back
Top Bottom