Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ameitisha kikao na Makampuni ya Simu ya VODACOM, AIRTEL, YAS, HALOTEL na TTCL ili kuweza kujadili uhalifu wa mitandaoni unaotumia namba za simu ikiwemo ule utapeli wa simu wanazopokea hata baadhi ya wazazi akiambiwa mtoto wako anaumwa na aina kama hiyo ya utapeli.
Waziri Katambi ametoa wito kwa makampuni hayo kufika wizarani jijini Dar es Salaam leo Septemba 4, 2026 muda wa Saa 7 Mchana.
Waziri Katambi ametoa wito kwa makampuni hayo kufika wizarani jijini Dar es Salaam leo Septemba 4, 2026 muda wa Saa 7 Mchana.