Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Haya friji la Gigy money aligandishi kabisa 🙂
Kwa madai aliyatoa msanii wa muziki wa Bongo Fleva Gigy money amesema baada ya kuitwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi walipewa elfu 50 za kula.
Ila Katambi kwahiyo bwebwe zote hizo uliwapa hadi hela ya kula
Soma Pia: Malu, pipytida, Dudu baya, Gigy money, Anko T, Noel na Mwijaku waitwa central station

Tulipewa elfu 50 ya kula na waziri, bwana wewe, ungetuona kina kiuchifu. Aibu utaona wewe. Watu mada yote, baba yetu ni waziri. Oh, nimefurahi waziri kanitambua. 50,000 mnaona ndogo nyinyi…”
- Sifa na upendo kwa Waziri Katambi:
“Wewe Katambi, huyu ndiyo baba yetu. Katambi baba kapendeza kwenye suti. Baba, ah! Baba ana roho. Huyu kanyooka kama sura yake. Waziri jamani…”