Gigy Money Waziri Katambi alitupa elfu 50 za kula. Aendelee kutuita tu kila wiki

Gigy Money, ameibua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka wazi kilichojiri katika mkutano uliofanyika hivi karibuni kati ya wasanii na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Katika video hiyo iliyosambaa kwa kasi, Gigy Money anaonekana akizungumza kwa uwazi bila kuficha kitu, akieleza na kufichua namna kikao hicho kilivyokuwa nyuma ya pazia.

Msanii huyo amedai kuwa kila mshiriki aliyehudhuria kikao hicho alipewa kiasi cha shilingi elfu 50,000 za Kitanzania mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo na Mheshimiwa Waziri.

Kauli hiyo imezua maoni tofauti miongoni mwa wafuatiliaji wa mambo kwenye mitandao ya kijamii, ambapo wapo wanaompongeza kwa ujasiri wa kusema ukweli bila uoga, huku wengine wakikosora kitendo cha kuweka wazi mambo ya ndani ya kikao cha serikali. Hadi sasa, hakuna taarifa rasmi iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani kujibu au kufafanua madai hayo.
View attachment 3665644
Hahaha
 
Mimi sio Katambi. Katambi ni waziri wa hovyo kwa maono yako, ila mdogo/kaka yangu yule anajitahidi sana kwa kweli..
Tulia tunaomjua tukupe somo na kama ni wewe ambaye umekuja na ID nyingine kula chuma hicho huwezi kuwaita wasaani ukawambia wana kesi ya jina halafu muda huo huo ukawapa na hela haikuwa na sababu yoyote kulazimisha watu waende mpaka anasema naagiza jeshi la polisi likamkate Dudubaya halafu baadae wale wale uliosema wanajinai uwape elfu hamsini hizo Akili au matope unashindwa kushughulikia vitu vya maana watu wanatekwa unatoka mbele unasema wametekwa kwa sababu ya wivu wa mapenzi halafu tukuone wewe ni waziri mzuri au ni maholia takataka
 
Sasa elfu 50 ni pesa gani kwa mtu kama Niffer au Dotto Magari?? Hiyo pesa ni la lunch/takrima ya kukubali kutii wito wa serikali wa kutaka wafike kwa ajili ya kupewa darasa la matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii na umaarufu wao.
 
Aache usha
Gigy Money, ameibua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka wazi kilichojiri katika mkutano uliofanyika hivi karibuni kati ya wasanii na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Katika video hiyo iliyosambaa kwa kasi, Gigy Money anaonekana akizungumza kwa uwazi bila kuficha kitu, akieleza na kufichua namna kikao hicho kilivyokuwa nyuma ya pazia.

Msanii huyo amedai kuwa kila mshiriki aliyehudhuria kikao hicho alipewa kiasi cha shilingi elfu 50,000 za Kitanzania mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo na Mheshimiwa Waziri.

Kauli hiyo imezua maoni tofauti miongoni mwa wafuatiliaji wa mambo kwenye mitandao ya kijamii, ambapo wapo wanaompongeza kwa ujasiri wa kusema ukweli bila uoga, huku wengine wakikosora kitendo cha kuweka wazi mambo ya ndani ya kikao cha serikali. Hadi sasa, hakuna taarifa rasmi iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani kujibu au kufafanua madai hayo.
View attachment 3665644
Aache ushamba hiyo ni pesa ya nauli
 
Sasa elfu 50 ni pesa gani kwa mtu kama Niffer au Dotto Magari?? Hiyo pesa ni la lunch/takrima ya kukubali kutii wito wa serikali wa kutaka wafike kwa ajili ya kupewa darasa la matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii na umaarufu wao.
Wameitwa kwa sababu ya makosa mbalimbali ya kijinai hayo ndio maelezo ya KATAMBI unamlipaje mtuhumiwa. Haa haaa kwa wenye akili timamu tunaona kabisa this is doing cheap politics ndio maana naendelea kusisitiza hakuna WAZIRI pale kama wewe umetumwa kumsafishwa wewe mwambie tu kwamba kuna issue za maana za kufuatilia i.e kuna wananchi wanaonewa bila kesi yoyote wanakaa mahabusu muda mrefu, kuna magari na pikipiki zina shikiliwa kwa muda mrefu pasipo kuwa na maelezo ukienda kudai utakuta betri hamna dashboard imeondoka, kuna utekaji yeye kama waziri maelekzo yake ni yapi kwa familia zilizopoteza watu wao hivi karibuni kipindi yeye ni waziri, Kuna stahiki za watumishi wa vyombo vyote vyilivyo chini ya wizara yake, kuna askari wadogo wanakesi za kubambikiziwa kwa sababu tu wakubwa wao wameamua. N.K kama angekuwa na akili ya kufuatilia hayo tungeona ana akili sasa yeye anakomaa na akina pipyd na gigy sasa tukisema hakuna waziri pale na sisi tutaanza kutafutwa kwa kesi za kuchoma vituo?
 
Back
Top Bottom