Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Ni kweli kabisa Katiba ya JMT inaruhusu watanzania kujumuika na kufanya shughuli za kisiasa kwa mujibu wa ibara ya 21 ya katiba ya JMT.
Japokuwa kuna limititations kwa mujibu wa ibara ya 30 (5) wa katiba ya JMT.
Mpaka sasa hatujaona kama kuna uvunjifu wa amani au viashiria vya uvunjifu wa amani.
Lakini huyu kibaraka wa CCM anatoa tamko ambalo halipo kisheria.
Maandamano yaitishwe na ikibidi ajiuzuru.