wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Wanawake muelewe; kwa Sisi Wanaume watoto wote sio Sawa. Tunawapenda na kubariki wale wanaotusikiliza

    WANAWAKE MUELEWE; KWA SISI WANAUME WATOTO WOTE SIO SAWA. TUNAWAPENDA NA KUBARIKI WALE WANAOTUSIKILIZA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kutuzalia Sisi tunaweza kukushukuru Sana lakini linapokuja suala la Upendo wa Baba kwa Mtoto ni kipengele kingine. Yaani Baba kusema sasa huyu ndiye mtoto...
  2. Mshangazi dot com

    Sehemu salama ya mwanaume ni wapi?

    Afya ya akili kwa wanaume imekua tatizo linalokua kwa kasi sana na kusababisha matatizo na majanga ambayo tumekua tukiyasikia kila siku. Naomba kuuliza wanaume mliopo JF: Huwa unazungumza na nani kuhusu matatizo au changamoto binafsi ulizonazo? Je ukikwama kikazi, kibiashara, kimahusiano...
  3. upupu255

    Pre GE2025 Waziri Gwajima ashauri Siku ya Wanaume itambuliwe rasmi Tanzania

    Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia,wanawake na makundi maalum Doroth Gwajima amesema kuwa serikali inampango wa kuifanya siku ya wanaume duniani 19 november kuwa rasmi kwa maadhimisho ya siku hiyo. Dkt Gwajima ameyasema hayo mkoani Geita katika kongamano la kuelekea kilele cha maadhimisho ya...
  4. Balqior

    Wanaume, mshawahi nunua dadapoa wanaojiuza sababu ya starehe?

    Hello Wote tunajua kuwa wadada wanaojiuza barabarani, wanajiuza sababu ya umaskini na ugumu wa maisha. Ila nina swali, kuna idea niliisikia kutoka kwa baadhi ya wanawake, tena tofauti tofauti, kuwa sio wadada wote wanaojiuza barabarani wanajiuza sababu ya umaskini, au tamaa ya kupata hela ya...
  5. Balqior

    Wanawake wengi wa sasa kwenye mahusiano wako kibiashara (wana selfish motives), wanaume tuache ku-fantasize romantic cinderella stories

    Habarini Nliingia kwenye insta story ya niffer, aliuliza wadada ni kitu gani kinafanya wawaheshimu zaidi wanaume walio nao, almost 95% of them walijibu maokoto, na their replies zilikua na umimi mwingi , me, me me, me, & me ananifanyia hiki. Wadada wachache walisifu "utu wema k.v loyalty...
  6. Raymanu KE

    Wanawake wengi wameolewa na wanaume ambao sio chaguo lao

    Almost 80% ya wanawake wanaishi na waume ambao sio chaguo lao halisi. Yaani they just " settled" with their current husbands baada ya kushindwa kupata wanaume WA ndoto Zao. Kwa utafiti uliofanywa, wanawake 7 Kati ya kumi walikiri wanaishi na mwanaume ambaye hakuwa chaguo lake kwa asilimia 💯...
  7. Manfried

    Mtaani kuna Black-Mail system wanaume kuweni makini sana.

    Sasa kuna mfumo upo ambao sio rafiki Kwa wanaume . Wanaweza kuja watoto wakike wanakufata fata wnakuomba pipi n.k hakikisha hauwapi na usiwajibu na wala hata umkute mtoto wa mtu anashida gani usitoe msaada wowote . hawa watoto wa hivi wanakuwa wametumwa na wazazi wao. Ukitaka kutoa msaada...
  8. Carlos The Jackal

    Wanawake Singo Mama, wanawachukulia Wanaume wenye watoto (Singo Baba) kama wanaoendana .!

    Ushawahi Jiuliza kwann Mwanamke mwenye mtoto au watoto, akiwa anatafuta Mume ,kigezo chake Cha kwanza ni 'Mwanaume awe pia na mtoto au watoto'?. Hiyo mbinu inaitwa Kusahihisha kosa Kwa Kumfanya MTU naye ajihisi alifanya makosa . Yaan hapo mnakua mko Kwa mizani sawa !! Mwanamke mwenye mtoto...
  9. T

    MAMBO AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI:

    MAMBO AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI: Katika Mambo haya Hakuna yametofautiana kutokana na Aina ya maisha mnayoishi na mumeo lakini wanaume wengi wapo hivi. 1__.MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA: 2__ MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA: 3__ MWANAMUME ANAHITAJI MUDA WA...
  10. Melancholic

    Wanaume chukueni hii

    Wanaume wanapaswa kuelewa kwamba wanawake wengi si lazima kutafuta upendo au ndoa. ‎ ‎ Kwa hakika; ‎ ‎ Mara nyingi ni wanaume ambao wanatafuta wake na marafiki wa kike. ‎ ‎ Hata hivyo, kuna kundi la wanawake ambao maslahi yao ya msingi si upendo au urafiki, bali kutafuta usaidizi wa kifedha...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    HAKI Sawa 50/50 ililetwa baada ya Wanaume wengi kuwa Wakatili na matapeli. Watibeli tunaunga Mkono

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kama wanaume wangekuwa waadilifu, wenye Haki, upendo, Akili na kupenda UKWELI. Ni wazi Wala tusingekuwa na vuguvugu na harakati za kumkomboa Mwanamke, sijui Haki za Wanawake. Kusingekuwa na mambo ya women empowerment. Lakini baada ya wanaume wengi na Wala...
  12. S

    Wanaume tuongee: Wimbi la wanawake kudai Mali linatisha!

    Wakuu mnajua Nini! Kwanza salamu sana. Pia amani ya mola iwe juu yenu. Nimekuja jukwaani Leo si Kuleta misemo na nahau ngumu kuzin'gamua bali nimekuja la jambo wote kunisaidia. Ni ajabu kwangu Leo wanawake wengi wamekumbwa na wimbi la wao kudai Mali nyingi hata kama wamezikuta huko walikoolewa...
  13. Eli Cohen

    Unataka kutengeneza dough ya uhakika? fanya hivi, Wauzie "attention" wanawake, Wauzie "lust" wanaume na Wauzie "dreams" vijana wadogo.

    WOMEN, ATTENTION $Uza cha kumfanya mwanamke wa miaka 40 aonekane wa miaka 30. $Uza cha kumfanya mwanamke awageuze shingo wanaume. $Uza cha kumfanya mwanamke asemwe na mwanamke mwenzake. $Uza cha kumfanya mwanamke kutuliza munkali wa hisia na stress zake MEN, LUST $Uza cha kumfanya mwanaume...
  14. Balqior

    Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

    Habarini, Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada...
  15. mr pipa

    Taratibu wanaume kapuku mtaa za kujitambua

    ,👇👇👇 kama tajiri tu anafanya hivi wewe kapuku maskini ni nani hapa duniani?!?
  16. Hyrax

    Hii kwa wanaume wote

    Tabia ya tamaa imewaangusha wanaume wengi sana till date: Tamaa ya fedha, tamaa ya kutaka maisha ya juu kupita uwezo, tamaa ya wanawake, tamaa ya kutaka kuyafikia mambo makubwa kupita uwezo. Mpaka umri huu nilionao nimeshuhudia marafiki zangu 58 wakipata madhira mbalimbali kwasababu ya tabia ya...
  17. KENZY

    Hivi yale majini yakike yaliyokuwa yanapenda wanaume yameishia wapi?

    Nayataka yanipende mimi, hivi viumbe vyakike vimeshanichosha vimebakiza kuninyang'anya uhai tu! Heri yale majini yanamapenzi ya dhati nijipatie moja niitulize nafsi kwa anaelijua lolote anikonekti nalo, life la mapenzi na hawa watoto wa eva it's too miserable!, at any time, any where you can...
  18. T

    Sababu 4 zenye kufanya mwanamke anawachukia wanaume pamoja na kuyachukia mahusiano

    Ukiona mwanamke yeyote ambaye anajiita strong and independent woman,super woman, Wakanda forever, mwanamke wa shoka n.k nyuma ya hayo majina kuna maumivu makali sana moyoni ikiwemo msongo wa mawazo, kujichukia,kukata tamaa ya maisha . hivi sasa kuna ongezeko la single mother ulimwenguni kwa...
  19. Mshangazi dot com

    Utulivu na Papara: Msichana akishindana na mvulana

    Angalia video clip Wanaume wengi huwa wanafikiri spidi na nguvu ndiyo muhimu zaidi kwenye kupata mafanikio. Ila tunakumbishwa utulivu na mbinu zisizotetereshwa na kelele za watu ni moja kati ya siri kuu. Dakika za mwanzoni, ilionekana kama mvulana atashinda kwasababu ya uwezo wake wa...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Kikawaida wanaohonga Wanawake ni wanaume dhaifu na Maskini

    KIKAWAIDA WANAOHONGA WANAWAKE NI WANAUME DHAIFU NA MASKINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya dalili zinazomtambulisha Mwanaume dhaifu ni kuhonga wanawake. Hata siku Moja huwezi kuta mwanaume Kamili anayejiamini na Alpha Male akahonga Wanawake. Wanaume dhaifu ni rahisi kuwa...
Back
Top Bottom