Ni mambo gani yanakupa furaha hadi unahisi maisha ni matamu

BIOTOXINS

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2026
Posts
1,091
Reaction score
2,283
Kuna matukio ambayo yakikutokea unasahau kabisa stress za dunia na kujiona kama maisha ni matamu kuliko unavyofikiria.
Mimi binafsi:

*Nikipokea SMS ya muamala wa pesa kuingia.
*Mwanamke akifika geto kwa ajili ya mnyanduo. 😂

*Nikienda kwenye mihangaiko, nikarudi na pesa mfukoni.
Sasa wewe ni tukio gani likikutokea unasahau hata kwamba kuna siku utakufa.
 
Kuona vijana wajinga na wasio reason wakiongezeka huku tabaka la wachache likienelea kuwanyonya.
 
Niki chati na hawa members ke wa jf yaaani NAPATA maraha(kwa rafudhi ya kisukuma)

Cocastic, leo dada, seran, ephen, mellerina, nk Yani nasikia maraha naweza mwaga hadi ubongo yakhee( rafudhi ya kizanzibari, cha mchamba wima)
 
Kuna matukio ambayo yakikutokea unasahau kabisa stress za dunia na kujiona kama maisha ni matamu kuliko unavyofikiria.
Mimi binafsi:

*Nikipokea SMS ya muamala wa pesa kuingia.
*Mwanamke akifika geto kwa ajili ya mnyanduo. 😂

*Nikienda kwenye mihangaiko, nikarudi na pesa mfukoni.
Sasa wewe ni tukio gani likikutokea unasahau hata kwamba kuna siku utakufa.
SAFARI (Journey) sio lager
 
Back
Top Bottom