Wabongo tuna sifa, sasa hadi CPA wameifanya kuwa kama Mr, Mrs, Dr, Sr katika majina yao

We unashangaa wabongo kuanza kuchangamkia title za heshima? Kuna nabii na mtume mmoja maarufu sana bongo yeye kakusanya title kama zote. Ukitaka kumtaja ni lazima uanze na ma title yote ndio utaje jina lake. Unaanza hivi: Mheshimiwa, mtume na nabii mkuu, Dr. .......Ni shughuli pevu kutaja ma title hayo kama una njaa hujala itakuchosha kutamka ma title yote
 
Sifa tu
 
Back
Top Bottom