Wabongo tuna sifa, sasa hadi CPA wameifanya kuwa kama Mr, Mrs, Dr, Sr katika majina yao

Wabongo tuna sifa, sasa hadi CPA wameifanya kuwa kama Mr, Mrs, Dr, Sr katika majina yao

Idd Amin Dada wa Uganda wakati wa utawala wake alijiita,

"His Excellency, President for life, Field Marshal, Al Hadji Doctor Iddi Amini Dada, VC, DSO, MC, Lord of all Beasts of the Earth and Fishes of the Sea and the Conqueror of the British empire in Africa and in Uganda in particular"
 
Nyerere alikuwa na phd ila hakuwahi jiita dokta nyerere. Mzee alikuwa anajitambua na kuishi kwa maadili ya uongozi sana.

Ila hawa wasasa utasikia, Mheshimiwa Professor Dokta engineer CPA advocate James Musimbugwane.

Sijui huwa wanahisi hizi title zinawapa mileage gani eneo la heshima wapuuzi hawa
Aisee nimecheka mno
 
Eli Cohen

Nina mwaliko wa kuhudhuria, Malumbano ya Hoja

Sasa Ile siku nikipewa mic nitajitambulisha

Kuwa .... Aaaah Asante sana kwa nafasi hii,

Afu hii, sio sahihi kusema kwa majina yangu naitwa 😂

Bali jina langu ni .... Kwa hiyo hapo nimevaa mayeno mkanda njeeee!

Kwa jina naitwa JEM MAKUTOPORA MTAMBAAWASWALA

Watu hapo wanaogopa. Wanasema Duh Kijana mdogo hivi kumbe JEM 😂😂😂
 
Hakika, udaktri ni special career
Soma asili ya neno Doctor, limetokana na neno la kilatini docere likimaanisha mwalimu au mkufunzi so PhD holders ndio wenye haki ya kuitwa doctor, hao matabibu siyo madaktari
 
Eli Cohen

Nina mwaliko wa kuhudhuria, Malumbano ya Hoja

Sasa Ile siku nikipewa mic nitajitambulisha

Kuwa .... Aaaah Asante sana kwa nafasi hii,

Afu hii, sio sahihi kusema kwa majina yangu naitwa 😂

Bali jina langu ni .... Kwa hiyo hapo nimevaa mayeno mkanda njeeee!

Kwa jina naitwa JEM MAKUTOPORA MTAMBAAWASWALA

Watu hapo wanaogopa. Wanasema Duh Kijana mdogo hivi kumbe JEM 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ngoja na sisi expert members wa JF tuanze kutanguliza initial za JEM kwenye majina yetu
Nchi hii tunashindana kwa titles. Kwa sasa hata ile heshima ya kuitwa Dr. inapungua kwani kila mmojawetu anataka awe Daktari kwa udi na uvumba. Kibaya zaidi , hizi digrii za mchongo ambazo watu wanatunukiwa zinaleta kizaazaa si tu huku mitaani bali hata ndani ya Bunge letu Tukufu. Ukiwa zuzu uonapo mtu anakuita kwa kutumia hiyo title unavimba kichwa na kuona ufahari. Ukweli ni kwamba kwa ndani anakusanifu tu, kuna kitu anakitafuta kutoka kwako. Chukua tahadhari.
 
Kuna mwamba alitoa angalizo kuwa wenye doctorate either za kusomea au za heshima wasianze kujiita kwa initial ya Dr, hii Dr itumiwe na madaktari as in physicians.
Uko sahihi kabisa Mr Lincoln Sibeko, habari za hapo The Horizon Deep, lini mnaturudishia Isidingo the Need?
 
Uko sahihi kabisa Mr Lincoln Sibeko, habari za hapo The Horizon Deep, lini mnaturudishia Isidingo the Need?
Tumemalizana na Isidingo The Need mkuu wangu, sasa hivi tupo na Adulting, tamthilia moja matata sana.
 
Tumemalizana na Isidingo The Need mkuu wangu, sasa hivi tupo na Adulting, tamthilia moja matata sana.
Ngoja niifatilie, all in all Isidingo itabaki kuwa soap opera bora ya wakati wote kuwahi kuonyeshwa hapa Tanzania, very talented actors, wanajua sana kazi yao, Namiss zile pisi kali mfano Nina Zamdela, Zukhisa, Nikiwe, Lerato, Kathlego n.k, pia wale giants kama Lincoln & Jeff Sibeko, Zeb Matabane, Eddie Holmes, Setchaba ,etc.I miss those golden moments
 
Kwa kweli, ilikuwa na characters wenye uwezo mkubwa sana, ilidumu miaka mingi sana na ilipendwa sana
 
Back
Top Bottom