peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Tume ya madini Kila mtumishi anajiita CPA
wachungaji na masheikh nao wameiga kuitwa kwa kuanza na title, unaanza hivi: Askofu Dr. LOTH HEMA, Padri Dr. LOTH HEMA, Sheikh Dr. ...., Mchungaji Dr. ...., Mufti Mkuu Dr. ..., ENG. LOTH HEMA, Askofu mkuu CPA. .... Bado kidogo tutaanza kuona title zingine za heshima kwa viongozi wa diniNadhani hii huchagizwa na inferiority complex iliyopo ndani ya watu. Kwamba asipoweka hiyo initial ni kama hamtamtambua
Jaribu tu kufuatilia sio kwa wanasiasa tu hata kwa wanaotuzunguka mtaani.. yaani wanatafuta namna yoyote kwenye mazungumzo wachomekee vimaneno ili watambulike kwa either kazi zao ,kipato chao au wanachomiliki.Inferiority complex it is a real complex,really do,!!iIt is killing au mental health kwa kweli
Eng. Masauni, muulize lini aliifanyia kazi fani yake.Ni ulimbukeni tu, kuna mwingine anaitwa Eng. kila mahali wakati kazi yake kubwa ni siasa za mpira!
Kuna wengine wanatafuta namna wakuoneshe hata vyeti na taarifa zao kabisaJaribu tu kufuatilia sio kwa wanasiasa tu hata kwa wanaotuzunguka mtaani.. yaani wanatafuta namna yoyote kwenye mazungumzo wachomekee vimaneno ili watambulike kwa either kazi zao ,kipato chao au wanachomiliki.
sie tulidhani ni civil engineering, machenical engineering kumbe ni nonsese engineering, ni jina tu bila taaluma na faniNi ulimbukeni tu, kuna mwingine anaitwa Eng. kila mahali wakati kazi yake kubwa ni siasa za mpira!
Sasa hivi imekuwa order of the day. Mtajuaje kama ana PhD asipojitambulisha na hiyo title ?wachungaji na masheikh nao wameiga kuitwa kwa kuanza na title, unaanza hivi: Askofu Dr. LOTH HEMA, Padri Dr. LOTH HEMA, Sheikh Dr. ...., Mchungaji Dr. ...., Mufti Mkuu Dr. ..., ENG. LOTH HEMA, Askofu mkuu CPA. .... Bado kidogo tutaanza kuona title zingine za heshima kwa viongozi wa dini
CPA Makala, Dr. Msukuma, Eng. Hersi, Mwl. Jumanne, hizo acronyms zinaitwa kishangilio.Artist LOTH HEMA, Mwalimu LOTH HEMA, painter, printer, carpenter, profesa LOTH HEMA, sipati picha kila mtu akianza kuitwa jina lake kwa kuanza kutaja fani/taaluma yake
Au unamuelezea CPA "zee la mpox"?Ngoja na sisi expert members wa JF tuanze kutanguliza initial za JEM kwenye majina yetu
CPA Amos Makalla a.k.a 'Zee la M pox', hii kaliAu unamuelezea CPA "zee la mpox"?
Yule mtu tangu awe jirani na "Tyson wa wiraya ya Punda" kwa kweli amekuwa mzushi na laghai kuzidi alivyokuwa anaunguza masoko.CPA Amos Makalla a.k.a 'Zee la M pox', hii kali
Ni ulimbukeni tu, kuna mwingine anaitwa Eng. kila mahali wakati kazi yake kubwa ni siasa za mpira
Nabii ni mbongo piaWe unashangaa wabongo kuanza kuchangamkia title za heshima? Kuna nabii na mtume mmoja maarufu sana bongo yeye kakusanya title kama zote. Ukitaka kumtaja ni lazima uanze na ma title yote ndio utaje jina lake. Unaanza hivi: Mheshimiwa, mtume na nabii mkuu, Dr. .......Ni shughuli pevu kutaja ma title hayo kama una njaa hujala itakuchosha kutamka ma title yote
humuoni mwalimu jenister mhagama, au umesahau pia mwalimu nyerere?Bado sijaona initial za walimu