Najiandaa baada ya kustaafu nijenge jengo kubwa la kuabudia hapa karibu na nyumbani.
Naamini sitakosa chochote, kwa sababu nitakuwa sina nguvu za kufanya kazi nzito.
Kama mtaniunga mkono, na...
Yani tule pombe nitoe pesa watu wale maji , niongee ujinga tu😅😅😅
Hakuna wadau nawakubali kama wa JF 🤣
Kuna wanangu kibao na wasio wasio, wote waulize maswali kuhusu mimi , nitajibu kila...
Wakuu, kuna jambo ambalo siku hizi limekuwa la kawaida sana katika mitaa ya Dar es Salaam, lakini wengi wetu hatulipi uzito unaostahili.
Tembea maeneo ya Kariakoo, Posta, Mwenge, Ubungo, Sinza au...
Hadithi.
Kila Jumapili, padri mmoja (nadhani kule mkoani Mara) alikuwa na utaratibu wake: akipanda baiskeli kwenda kanisani, alisimama chini ya mti fulani wa muembe na kujisaidia haja ndogo kama...
Mwanamitindo wa Marekani, Kysre Gondrezick, anasema alipata ujauzito wa Achraf Hakimi wakati wa Kombe la Dunia wakati Morocco ilipokuja kucheza Houston.
Alifichua kuwa alimwambia Hakimi na yeye...
Usikaseme vibaya kwakuwa hukapendi
Ama kamekushinda
Au kamekuzingua
Na pengine ulizidisha kipimo kwenye offer
Na au ulitaka kuleta upinani wa kuonesha umwamba ukakameza kavukavu gudugudu wakati...
Kuoa au kuolewa na mtu asiye sahihi ni kubaya zaidi kuliko kuingia kwenye familia mbaya.
Hii ni kwa sababu mwenzi wako ndiye mtu utakayeishi naye kila siku, mtakayeshirikiana chumba kimoja, na...
Ata kama uwe unapata pesa kiasi gani, kama kwenye mapenzi huna furaha ni sawa na kazi bure.
Chimbuko au msukumo wa utafutaji wa binadamu ni mapenzi; mtu atatafuta pesa kwa nguvu, atatafuta vyeo...
Simulizi Mpya (kutoka kwenye kisa cha kweli):
Bei ya Fahari: Maagano ya Kishirikina
Sura ya Kwanza:
Saidi hakuwahi kujua kwamba umeme ukikatika nyumba inaweza kubaki gizani usiku mzima. Kwao, giza...
Wakuu mko salama humu?.
Baada ya kupitia changamoto nyingi za kimaisha,nikaamua kwenda kwa mganga kusafisha nyota.mganga hakua na mengi ya kunifanyia ,zaidi alinipa tu chumvi ya mawe akaniambia...
Moja kwa moja ..
Mwezi wa saba mwaka huu nilichukua umamuzi wa kuondoka Jf kwa muda , malengo ya kuondoka ni mwendelezo wa utamaduni wangu wa mara kwa mara ikifika kipindi fulani nakuwa nje...
Zipo nyuzi za kawaida ambazo unasema hii hata mimi nikitulia naweza
Ila duuuu
Unakutana na uzi iwe trending au new post unaamua kusoma
Unavutiwa na content hata iwe ndefu vipi unaimaliza...
Wasalaam,
Maisha ni fumbo lisilo na majibu ya moja kwa moja, leo tunakutana na watu, tunajenga ukaribu wa mda mrefu, lakini kesho hatujui njia zetu zitatupeleka wapi. Wengine huwa sehemu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.