Namaste everybody
Heshima zenu wakuu.
Muziki wa kitambo miaka hio ya wahenga kabla sisi Gen Z hatuzaliwa ulikuwa mzuri sana ukilinganisha na ya sasa.
Makelele merngi sana siku hizi
Vyombo vya...
Mwezi Oktoba huu ndio unaishia, tunaingia mwezi Novemba kwenda mwezi Disemba na baadaye mwezi Januari.
Kwa lugha za mtaani, tunaweza kusema ndio mwaka unaisha hivi.
Miezi niliyoitaja hapo juu...
Nimetuma sh million 1 za kitanzania shule anayosoma binti yangu, kwa ajili ya kusheherekea ushindi wa simba dhidi ya uto , nikatoa maelekezo kwa mwalimu asiwape uto 😅
Ila binti yangu akalia...
Binadamu tuna ndoto, malengo na matamanio mengi kuhusu maisha Tunapanga kuwa na nyumba nzuri, gari, ardhi, biashara na mafanikio mengine mengi
Lakini umewahi kujiuliza kuhusu mwisho wa safari...
Wanasayansi walipokuwa wakipanga sifa za wanyama mbalimbali , ngiri alikuwa kwenye mashimo yake kwa hiyo waliishia kuwapa mataji wanyama wasio na sifa.
Ufalme wa msituni ulienda kwa simba...
Hivi leo jihani watu wanalia kwa uchungu eti katuheshimisha watanzania 😅
Kuna watu wameonekana wana uchungu na furaha kubwa kuliko hata yeye mwenyewe, waliomzaa pengine na waliompambania
Eti...
Niadje WanaJF kwenye haya maisha tunakutana na kuconnect na watu mbalimbali ilikuwaje ukagundua kwamba mshikaji wako kwao sio kinyonge wako na ganji ya kutosha
WANAJF, SINA MBELE WALA NYUMA… NI MATESO TU 💔🥀
Kuna kipindi kwenye maisha unafika mahali unajiuliza, hivi mimi nilikosea wapi?
Unajitahidi, mambo hayaendi. Unapanga, mipango inavunjika. Unajipa...
Enzi zile RADIO FREE AFRIKA ilikuwa moto wa kuotea mbali!
Moja ya redio zilizofanya mapinduzi makubwa kwenye burudani, elimu na vipindi vya redio Tanzania.
Hapa tunawakumbuka watangazaji...
Wanangu wa JF, kwanza kabla hamjaanza kunihukumu, naomba mjue kwamba leo nimefika hatua ambayo hata mimi mwenyewe nikijitambulisha naweza kujikataa! 😂😂😭
Yaani nimekaa hapa natafakari maisha...
Jana nilikuwa kwenye basi tena la vijijini kabisa naenda mjini. Safari ni fupi maana nauli elfu 5 tu
Nimekaa siti na mdada mzungu lika langu kabisa mzungu mwenzie mmama mtu mzima amekaa mbele...
NAOMBA MKOPO WA TSH 20,000 🙏
Habari zenu wanajamii. Naomba msaada wa mkopo wa TSh 20,000 kwa yeyote ambaye atakuwa na uwezo wa kunikopesha. Nina uhitaji wa haraka na nitajitahidi kurejesha ndani...
Shalom wakuu!
Swali hili limekuwa likinitatiza sana tangu miaka 2 iliyopita tangu nilipojiunga na JF,
Imekuwa ni kama fashion kwa wanaJF wengi kudeclare elimu zao katika post zao nyingi, ajabu...
Wakuu.
Nikiwa mtoto tuliaminishwa na wazazi wetu kuwa ukila tunda alafu ukameza mbegu basi ile mbegu itaota na kuwa mti tumboni.
Nakumbuka kuna siku niko la 2 wakati natoka shule nikanunua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.