Kuvunja Nyakati Zilizotekwa
Katika mafundisho ya kiroho wakati au hatima ya mtu (au jamii) huonekana kuwa imekwama au kucheleweshwa na uovu, tabia mbaya, ukatili au mifumo hasi—hivyo inahitaji...
Wanaume, ukisikia mke wako anatongozwa na tajiri mmoja wa mji, tajiri akimtaka mke wako aingie naye kwenye mahusiano na kuzaa naye mtoto mmoja, ila wakati wa mazungumzo yanakuwa kama siri kwao...
Ndugu zangu tupewe nini tena? Hapa Tungekinya ukishaweka VPN unaona vyote duniani. Huna haja ya kukimbizana na wapiga mizinga ni mwendo wa bundle, sabuni na mkono wako tu
Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2008 mwezi Juni nilikuwa naenda kikazi Lusaka, Zambia basi sijui hili wala lile kwenye tiketi iliandikwa saa ya ndege kuondoka saa 12 asubuhi (ndege ndo inapaa) mimi...
Ili apate cha kuiba; wengine wanakuombea mabaya, mfano:-
Daktari anataka uugue ili aende kukutibu
Wakili anataka uwe na kesi ili aweze kusimamia
Muuza majeneza anataka ufe ili auze majeneza
Nabii...
BOOM LIIKIINGIA TU! 💸
Wiki ya kwanza: Unakula kuku 🍗😂
Unaagiza bila kuangalia bei. Mambo safi!
Wiki ya pili: Unakula products za kuku — chips mayai, mayai ya kuchemsha n.k. 🤣
Wiki ya tatu...
Kuna baadhi ya marafiki wanateteana kwa kila kitu mpaka ujinga, akikuta rafiki yake ana msala atasimama kutetea hata kama anajua rafiki ndiye mkosa kisha atamlaumu baadaye tatizo likiisha...
Nikienda kutafuta utajiri wa punje za mahindi kama wanavyosema watu wa huko kusini, nitakuwa nimekosea?
Kwa miaka yangu hii 76, ata kuku akidonoa punje nne, nitakuwa na cha kupoteza?
Kwa sababu...
Vifo vyote Tanzania Bara na Zanzibar, pamoja na vifo vinavyotokana na magonjwa, uzee, ajali, majanga, vita na matukio mengine, kuanzia mwaka 1961 hadi sasa
Vifo vya jumla, 1961–2025
Takribani...
Yanajifanya hayapo Facebook ila JamiiForums ndio kuna members wengi ambao wapo Facebook 😅
Ila ukiyaangaalia hapa yanajifanya majanja , kuwa hayapo fb 🤣
Kumbe ni mambigwa ya fb tu kama sisi tu😅
Moja kwa moja .
Iwe stori au chochote muhimu ili kuwafunza watu kuwa bange si kitu kizuri na ni mbaya kwa akili mwanadamu.
Nakumbuka nimewahi kumpoteza rafiki yangu wa utotoni Allaah amrehemu...
Kuna marafiki au Watu wa karibu wanaweza kukuaibisha mbele za watu yaani haupaswi kabisa kuwaweka loudspeaker kwenye mazungumzo yenu hawakawii kutoa maneno mazito katikati ya maongezi ukabaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.