Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kuna marafiki au Watu wa karibu wanaweza kukuaibisha mbele za watu yaani haupaswi kabisa kuwaweka loudspeaker kwenye mazungumzo yenu hawakawii kutoa maneno mazito katikati ya maongezi ukabaki kufunga mdomo.
Mtag/taja rafiki yako ambaye huwezi kabisa kumuweka 'loudspeaker' kwenye simu yako mnapozungumza kwa kohofia neno/maneno yake 😅😅😅
Mtag/taja rafiki yako ambaye huwezi kabisa kumuweka 'loudspeaker' kwenye simu yako mnapozungumza kwa kohofia neno/maneno yake 😅😅😅