Hivi ni kwa nini kizazi cha Genz...kinapitia changamoto katika issue nyingi kama vile...mahusiano ya kimapenzi, wafanyakazi walioajiriwa kwa watu binafsi,,,,we unazani nini kinachofanya kizazi...
Usalama wa Taifa ni 'sector' kama zilivyo sector zingine.
Kikubwa ni vitu vitatu vinne vikubwa hivi:
1. Intelligence
2. Usiri
3. Uaminifu
4. Uwezo to make it happen
Mengine ni added advantage...
Moja kwa moja..
Mimi toka nimerudi kwenye meditation nimechagua kuishi maisha ya amani , sitaki ugomvi hata mtu akinichokoza na kunitukana nampuuza na namjibu kwa staha .
Leo nashangaa kwenye...
Nyumbani kuna kazi nyingi sana zinazotumia muda mwingi na haziishi zinajirudia rudia kama kupika, kusafisha nyumba, kuosha vyombo nk.
Kati ya kazi hizo mie sipendi kabisa kufuta vyombo na kupanga...
WANAJF, LEO NATAMANI KUYAMWAGA YOTE YALIYO NDANI YA MOYO WANGU… 💔🥀
Kuna siku mtu unafika mahali unashindwa hata kuelewa kinachoendelea ndani yako. Huna furaha, huna amani, huna hamu ya chochote...
Wakuu, kuna maumivu ambayo huwezi kuyaelezea kwa mtu, kwa sababu hata wewe mwenyewe unashindwa kuelewa kinachoendelea ndani yako.
Unaamka, unaendelea na maisha, unacheka na watu, unafanya utani...
Mwanachama Manyanza kwenye mtandao wa JamiiForums anaelezewa kama mmoja wa wachangiaji wakongwe, maarufu, na wenye ushawishi mkubwa sana (Platinum Member).
Amejiunga na mtandao huo tangu Novemba...
Apply hizo vitu mbili hapo kwenye maisha yako after a few days utaona maana halisi ya maisha.
Usiji-compare na watu wengine
Ooh mbona fulani ana maisha mazuri,ana gari zuri,ana kazi nzuri,yuko...
Bata batani, wana wa stress free zone
Don't take it personal... Wala usichukulie wahusika wa mada hii ni watu wa nyodo wenye nazo na wanaopenda show off... La hasha... Hata wewe ni sehemu ya mada...
WACHAWI TUKUTANE HAPA
wachawi tukutane hapa, kila mtu aseme tukio ambalo amewahi kufanya la kichawi
Kama upo, usiishie kusema tu kwamba wewe ni mchawi. Simulia tukio moja ambalo umewahi kufanya...
Mzuka wana jamvi ...
Jf kitambo na hiko alikuwa member anayependwa sana hapa jamvini , muda mrefu sasa amepotea miss Chaga , baada ya kuona post yake Leo katika Uzi wa zamani nimekumbuka sana ...
Jumapili nataka nika-osheoshe macho katika mji wa Shinyanga, inawezekana nikapata bahati ata ya kuokota almasi, kwa sababu mkoa huo unasifika sana kwa hayo madini.
Ili nisiboreke, nitataka nipate...
1. The couple PFP
Ni profile picture ya wapenzi wawili wakikumbatiana, wakishikana mikono (soul tie). Hawa ndio wale Wanajionaga "Wamiliki wa Hati Miliki za Mapenzi"! 😅
Tafsiri ya Picha Jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.