Kama hutegemei kuajiriwa, bali unataka ujiajiri uwe CEO wewe mwenyewe, cheti cha kuzaliwa kinakutosha.
Achana na mbwembwe za kutafuta mavyeti mengine, hizo mbwembwe waachie wanaotaka kuajiriwa...
Mzuka wana jamvi ?
Wanadamu tonatofautiana mitizamo na misimamo , Mimi kama 'Gengis ' katika maisha yangu ya hapa jukwaani nina Misimamo ifuatayo ;
1. Siwezi kuwa na multiple ID . Kwangu naona...
Wasalaam wakuu,
Kumekuwa na tabia mbaya humu JamiiForums ya baadhi ya vijana wa kiume kuanzisha nyuzi au kutoa comments za kuwakejeli na kuwabeza wanawake baada ya kuona picha zao kwenye jukwaa...
Ukiona mtu anaanza kusifia sana maparachichi na namna gani ni matamu ukila na ugali, ujue tayari ukata umeanza kumnyemelea
Nakutakia mapambano mema
Umasikini ni fedheha
Chamsingi ogopa kumwaga...
LEO DADA, NATAMANI TUWE MARAFIKI WA KWELI! ❤️🤝
Kuna watu unakutana nao kwenye mitandao ya kijamii bila kutegemea, lakini kadiri siku zinavyokwenda unaanza kuona wana nafasi ya kipekee katika...
Sikubali.
Mimi na usomi wangu wote na akili nyingi hizi, unaishia kufanya vibarua vya mkono uende kinywani , ila Pipitida anatikisa makalio tu na ni tajiri kwa Sasa na maisha mazuri...Tanzania...
Moja kwa moja.
Zamani nilikuwa na mtazamo kuwa kitufe Cha ignore hakina maana na kuweka mtu katika ignored list ni udhaifu ila sasa nimebadili msimamo baada ya kupata kero ya members hao chini na...
Tufundishane ustaarabu. Mambo ya kufanya na kutofanya kwenye eneo fulani.
1. Kwenye Urinal.
Hupaswi kusalimia mtu. Ni marufuku kuangalia chini.
2. ATM.
Haifai kusalimiana salimiana.
Jana nimeingia 'club' moja machachari, nikakutana na mzigo mmoja hatari, umekaa kaunta umejibinua, mbaya zaidi kitopu kikawa kimejivuta juu na kuona umbo la 'apple' linalovutia.
Kapewa sura...
Eti kuna jamaa mmoja anasema kua pisi (wanawake) kali za umu JF ni mbaya...
Asa sijajua ni kweli anachosema ama vipi... asa nataka pisi kali mjitetee apo.. maana mwana. Naona anawaponda...
Kuna watu wajinga kwenye hili jukwaa wanamazoea ya kipumbavu.
Sijawahi kumwandikia mtu humu uzi wa kumdhalilisha na kusambaza maneno machafu.
Sasa nimeona kuna wimbi la watu wajinga wanaosambaza...
“TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓
Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo. Ni mzigo unaoweza kuathiri uwezo wa mwanafunzi...
Sehemu kubwa ya maisha ya mwadamu yametawaliwa na maangaiko. mfano:-
Kuanzia umri wa miaka 0-5 yupo huru
Miaka 6-25 au zaidi yupo kwenye miangaiko ya shule
Miaka 25-70 yupo anapambana na kazi ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.