adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Moja kwa moja.
Zamani nilikuwa na mtazamo kuwa kitufe Cha ignore hakina maana na kuweka mtu katika ignored list ni udhaifu ila sasa nimebadili msimamo baada ya kupata kero ya members hao chini na kujaza notifications zisizo na maana kwenye upuuzi , ilikuwa naweza kukuta notification takribani 50 kumbe ni genge Moja halafu hakuna cha maana zaidi ya upuuzi.
Nikaamua nitembeze ban kama mod vile sasa hivi sioni tags zao na akaunti yangu imekuwa inapendeza zikija notifications basi za maana.
Jamaa sasa hivi linateseka Kisaikolojia nimemfungia vioo ila natarajia kumfungulia tarehe tajwa hapo juu In Shaa Allaah Kwa sababu Maalumu.
#UziTayari