Nimepiga Ban hawa members mpaka tarehe 11 /5 /2026

Nimepiga Ban hawa members mpaka tarehe 11 /5 /2026

Badili content mkuu hizi content zako za kidini ndio hutengeneza enmity kwa member wa humu ligi za kidini hazina faida yoyote kidini wala kijamii

Kwa mlengo wa kiislam kuweka ligi inayosababisha dini yako idhihakiwe na kutukanwa ni kama wewe ndio umeitukana au kuidhihaki dini yako maana ungenyamaza hao watukanaji wasingefanya hivyo kwahiyo unaweza dhani ndio waitetea kumbe waitukana dini yako bila kujua hivyo si vizuri kuanzisha ligi za kidini mara nyingi hazijengi zaidi ya matusi na dhihaka
Nadhani unijui kabisa mkuu .

Mimi sio religious fanatic kama wengine mwenye kazi hiyo Jf , sijawahi kuanzisha Uzi wowote wa uchokozi na kebehi dhidi ya watu wa dini nyingine kwani naamini unapomchokoza mtu makusudi au kumtukana unajitengenezea mazingira ya wewe kutukanwa .

Mimi nimekuwa muhibiri wa Amani na kuacha uchokozi wa kidini kwa miaka mingi Jf na nimekuwa nikikataza mpaka Waislamu wenzangu mabishano ya hovyo ya kidini na matusi . Jambo hilo limepelekea kuwa na marafiki wengi humu mpaka baadhi ya Wakristo wananifuata inbox kunipongeza na kwenye post mbalimbali wakiniTag kuniona mtu ambaye wanaweza kujadiliana nae kistaarabu.

Udhaifu wangu ni mtu anaposhambulia kwa dhuluma ,uongo na ujeuri huwa simvumilii lazima ni dili nae kama alivyokuja au kumpuuza niligundua kuwa ndio kazi yake Fujo na matusi na sio mtu wa hoja , labda wewe umenishuhudia katika hali hii lakini sina pigo eti niamke nije Jf kuisema dini Fulani hiyo hapana , ukiona nashambulia basi ni kujilinda baada ya kuchokozwa na sio kuanzisha.
 
Kweli kabisa , jamaa kichwa chake kichafu sijawahi kuona kama kashawahi jirekodi anaNyetuka live baada ya kugombana na kina lamomy katika Uzi Fulani na kutupia live Jf ili awakomoe wadada hao unadhani ni kawaida hiyo ?

Nina video zake za vituko mpaka nacheka sana . Bangi anayovuta ichunguzwe na kuwekwa katika list ya madawa hatari sana kwa mwanadamu.
Ya kweli hayo mkuu?
 
Hata mimi nilikuwa na mtazamo huo , ila Kuna scenarios utakutana nazo zitakufosi hivyo.

Imagine mtu kila ukifungua Jf unakuta notification ukichungulia unakuta anakutukania Mama yako bila sababu yeyote just for fun , sasa hata kama wewe hauchukulii vita siriazi utakubali kila siku unayaangalia matusi tu si bora upige block usione na yeye ataacha automatically kwa kuona anayekukusudia kukukera hauoni ?
adriz de mbusii hadi ukome maamae
 
Moja kwa moja.

Zamani nilikuwa na mtazamo kuwa kitufe Cha ignore hakina maana na kuweka mtu katika ignored list ni udhaifu ila sasa nimebadili msimamo baada ya kupata kero ya members hao chini na kujaza notifications zisizo na maana kwenye upuuzi , ilikuwa naweza kukuta notification takribani 50 kumbe ni genge Moja halafu hakuna cha maana zaidi ya upuuzi.

Nikaamua nitembeze ban kama mod vile sasa hivi sioni tags zao na akaunti yangu imekuwa inapendeza zikija notifications basi za maana.

Jamaa sasa hivi linateseka Kisaikolojia nimemfungia vioo ila natarajia kumfungulia tarehe tajwa hapo juu In Shaa Allaah Kwa sababu Maalumu.
View attachment 3564250

#UziTayari
Mbona hizo IDs zote ni mtu mmoja, yaani umezipiga ban IDs zako mwenyewe?
 
Nadhani unijui kabisa mkuu .

Mimi sio religious fanatic kama wengine mwenye kazi hiyo Jf , sijawahi kuanzisha Uzi wowote wa uchokozi na kebehi dhidi ya watu wa dini nyingine kwani naamini unapomchokoza mtu makusudi au kumtukana unajitengenezea mazingira ya wewe kutukanwa .

Mimi nimekuwa muhibiri wa Amani na kuacha uchokozi wa kidini kwa miaka mingi Jf na nimekuwa nikikataza mpaka Waislamu wenzangu mabishano ya hovyo ya kidini na matusi . Jambo hilo limepelekea kuwa na marafiki wengi humu mpaka baadhi ya Wakristo wananifuata inbox kunipongeza na kwenye post mbalimbali wakiniTag kuniona mtu ambaye wanaweza kujadiliana nae kistaarabu.

Udhaifu wangu ni mtu anaposhambulia kwa dhuluma ,uongo na ujeuri huwa simvumilii lazima ni dili nae kama alivyokuja au kumpuuza niligundua kuwa ndio kazi yake Fujo na matusi na sio mtu wa hoja , labda wewe umenishuhudia katika hali hii lakini sina pigo eti niamke nije Jf kuisema dini Fulani hiyo hapana , ukiona nashambulia basi ni kujilinda baada ya kuchokozwa na sio kuanzisha.
Sipendi kuona dhihaka za kidini nachukia sana cha ajabu humu imekuwa ndio platform ya chitchat and jokes ni ujinga sana kwani kuna vitu vingi sana vya kufanya utani mbali na mambo za dini
 
Hiyo driz de mafwele sio account yako nyingine?
Haihusiani na mimi kabisa , Kuna siku nilimdhihaki kwa picha hii Kuna caption niliweka , jamaa kwa hasira akamua kufungua hiyo ID na kuiCrop image kama avatar take
IMG_20251214_092302.jpg
 
Back
Top Bottom