Nimepiga Ban hawa members mpaka tarehe 11 /5 /2026

Nimepiga Ban hawa members mpaka tarehe 11 /5 /2026

Nina kama miezi 3 hivi ninayo , wahuni walikuwa wanaiga akaunti yangu nikataka nijitofatishe niwe verified.

Hahahahaha!! eti genius.... Genius unaishi kwa kamari ?
Hii nimeamka nimekuta sasa hivi pesa imeingia 😁 wewe umeingiza sh ngapi hadi sasa hivi ...kama siyo kutumia pesa ...hapa chai ya maziwa pure bila ya kuweka maji na chapati 4 safi
 
Attachments

  • Screenshot_20260330-070137_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260330-070137_SportyBet.jpg
    168.3 KB · Views: 12
  • Screenshot_20260330-072850_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260330-072850_SportyBet.jpg
    152.3 KB · Views: 9
Hii nimeamka nimekuta sasa hivi pesa imeingia 😁 wewe umeingiza sh ngapi hadi sasa hivi ...kama siyo kutumia pesa ...hapa chai ya maziwa pure bila ya kuweka maji na chapati 4 safi
Kila siku unashinda tu hauliwi mbona unatupanga ?

Mimi nakula kwa jasho langu
 
Kila siku unashinda tu hauliwi mbona unatupanga ?

Mimi nakula kwa jasho langu
Wewe huoni jina hilo kwenye mkeka (lwiva)....Genius ni genius tu kila siku nakula hata mikeka 6 nitskavyo ila naliwa sh 500 sh1000 cha msingi nabetia pesa ya kanji ..sasa hivi nina sh kama elfu 80000 pesa ya kanji ipo kwenye sportbety kwa ajili ya kuchezea tu.
 
Moja kwa moja.

Zamani nilikuwa na mtazamo kuwa kitufe Cha ignore hakina maana na kuweka mtu katika ignored list ni udhaifu ila sasa nimebadili msimamo baada ya kupata kero ya members hao chini na kujaza notifications zisizo na maana kwenye upuuzi , ilikuwa naweza kukuta notification takribani 50 kumbe ni genge Moja halafu hakuna cha maana zaidi ya upuuzi.

Nikaamua nitembeze ban kama mod vile sasa hivi sioni tags zao na akaunti yangu imekuwa inapendeza zikija notifications basi za maana.

Jamaa sasa hivi linateseka Kisaikolojia nimemfungia vioo ila natarajia kumfungulia tarehe tajwa hapo juu In Shaa Allaah Kwa sababu Maalumu.
View attachment 3564250

#UziTayari
Hizo zote ni ID za mtu mmoja.
Ungesema umempiga ban huyo memberšŸ˜‚šŸ˜‚
 
Mjumlishe hapo GENTAMYCINE
 
Nawezaje kuwapa ban na Mimi
 
Screenshot ya login/saved passwords zake umeitoa wapi au wewe ndio hao members. Maana ignore list haiwi hivyo

Anajiaibisha sana.
Mtu mmoja ana ID 7. šŸ˜ŽšŸ˜ŽšŸ˜ŽšŸ˜Ž

Alaf kila akaunt ina character tofaut tofaut. Inaanzisha mada , inatag akaunt nyingne , inajitukana, inajijibu. Dah .

Alaf Hiii ya Adriz ndio akaamua kuifanya ya kistaarabu.šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜Š
PhotoCollage_1773856951352.jpg
 
Tlaatlaah ,ChoiceVariable Lucas mwashamba ninyi uvumilivu kwangu ushafikia mwisho. Kinachofuata ni kuwa ignore tu.
Gentleman,
hiyo ni miongoni mwa hatua binafsi nonsense sana kuchukulia na mtu timamu ambae yuko kwenye platform za kijamii kama JF n.k kwa lengo la kujifunza, kuongeza uelewa na ufahamu juu ya mambo mbalimbali ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa.
Ni hatua isiyo na athari kwa anae chukuliwa hatua hiyo na yenye madhara ya kisaikolojia kwa anae chukua hatua useless kama hizo.

ukimuweka mdau yeyote wa JF kwenye ignore list ni sawa na kumuweka moyoni tu, maana utakua unatembea nae moyoni mwako na kwenye kifaa chako unachotumia kuingia JF maisha yako yote.

kila ukichungulia ignore listi yako lazima umuone tu, huo si ujinga sasa gentleman?:pedroP:

ni ulofa sana kmpiga mtu ban au kumuignore gentleman
 
Screenshot ya login/saved passwords zake umeitoa wapi au wewe ndio hao members. Maana ignore list haiwi hivyo
Mimi mpaka kujiita Mafia unadhani kawaida ?

Kuna levo ya ujasusi ukifika unakuwa na mbinu za kumvuta mtu kwenye mtego na kujichanganya kutoa Siri zake muhimu bila kukusudia , inakuwa sawa umempa madawa ya kulevya .

Mpaka kuwa na ID nyingi kama mwehu Mimi ndio chanzo nilisababisha ID yake kongwe na backup zile ban baada ya kumuingiza kwenye mfumo akaona Bora awe na nyingi . Kuna siku nikaanzisha Uzi wa kimkakati akajaa kwenye mfumo kama mwehu akaweka hiyo screenshot nikaiSave chap na huo Uzi upo naweza kukudirect uone jinsi alivyojaa na kuweka hiyo screenshot.
 
Hizo zote ni ID za mtu mmoja.
Ungesema umempiga ban huyo memberšŸ˜‚šŸ˜‚
Nimefanya makusudi kumdhalilisha na kumfichua .

Ningeandika siriazi kama hivyo mods wangepita na huu Uzi , wangemlinda na Mimi ningepewa kesi ndio maana nikaleta huku kwenye jukwaa la jokes na kuandika kimasihara ili uzi Usurvive
 
Back
Top Bottom