Nimepiga Ban hawa members mpaka tarehe 11 /5 /2026

Moja kwa moja.

Zamani nilikuwa na mtazamo kuwa kitufe Cha ignore hakina maana na kuweka mtu katika ignored list ni udhaifu ila sasa nimebadili msimamo baada ya kupata kero ya members hao chini na kujaza notifications zisizo na maana kwenye upuuzi , ilikuwa naweza kukuta notification takribani 50 kumbe ni genge Moja halafu hakuna cha maana zaidi ya upuuzi.

Nikaamua nitembeze ban kama mod vile sasa hivi sioni tags zao na akaunti yangu imekuwa inapendeza zikija notifications basi za maana.

Jamaa sasa hivi linateseka Kisaikolojia nimemfungia vioo ila natarajia kumfungulia tarehe tajwa hapo juu In Shaa Allaah Kwa sababu Maalumu.
View attachment 3564250

#UziTayari
Ingependeza ukawateka
 
Attachments

  • 1774820205602.jpg
    1774820205602.jpg
    41 KB · Views: 13
Anajiita mwamba gan sijui 🚮
Sema nahisi ni jamii ya watu wa bara la Asia😁
Maana nasikia wao kwenye kilimo cha bamia wanaburuza mkia kwa kutoa bamia dumavu kuliko bara lolote lile🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Na mkulima wa namna hii anakua mkali sana😛
Hilo waga shoga tupa ignore binti! Ukiendelea kukaa nalo hapo litakukiminia mitusi mikali na lina sapotaz wenzie hawajaamka tu!
 
Moja kwa moja.

Zamani nilikuwa na mtazamo kuwa kitufe Cha ignore hakina maana na kuweka mtu katika ignored list ni udhaifu ila sasa nimebadili msimamo baada ya kupata kero ya members hao chini na kujaza notifications zisizo na maana kwenye upuuzi , ilikuwa naweza kukuta notification takribani 50 kumbe ni genge Moja halafu hakuna cha maana zaidi ya upuuzi.

Nikaamua nitembeze ban kama mod vile sasa hivi sioni tags zao na akaunti yangu imekuwa inapendeza zikija notifications basi za maana.

Jamaa sasa hivi linateseka Kisaikolojia nimemfungia vioo ila natarajia kumfungulia tarehe tajwa hapo juu In Shaa Allaah Kwa sababu Maalumu.
View attachment 3564250

#UziTayari
😁🙌wewe muhuni umetowa wapi blue tiki...Leo ndiyo naiona 🙌...mbona mimi Genius sina hata white tiki🤔✅
 
Nina kama miezi 3 hivi ninayo , wahuni walikuwa wanaiga akaunti yangu nikataka nijitofatishe niwe verified.

Hahahahaha!! eti genius.... Genius unaishi kwa kamari ?
 
Back
Top Bottom