Madaktari bingwa waligundua 🤔
Sina mfupi wa kuishi , tatizo langu ni vibe la kulewa na kuwazindua , na daktari amesema niendelee tu nawazibua kwa afya zao
Kumekuwa na ongezeko kubwa la watu kupanda bodaboda kwa staili ya mshikaki.
Hii nimeiona karibia kila mkoa; unakuta mwanaume kwa mwanaume, mwanamke kwa mwanamke au mwanaume kwa mwanamke wamepanda...
Kuna ule ushamba wa wadada wengi wa kibongo wanaoamini kwamba tango haliwezi kupikwa kama ambavyo limezoeleka kuliwa bila kupikwa.
Kiukweli unakosa uhondo mwingi wa tunda hili adimu unapolitafuna...
Nilikua naongea na mdada (co-worker), sasa akawa ananiangalia sana kama kuna kitu ame note, baada ya muda akaniuliza, nikuambie kitu? nikamwambia sawa nambie, akasema yani una dental formula nzuri...
Maisha yana changamoto sana nyakati nyingi. Zipo changamoto ambazo giza linakua jingi sana—aidha kwa matendo yetu au matendo ya wengine.
Hakuna kukata tamaa, unaanguka unanyanyuka tena. Muhimu...
Sijui ni nini hiki, ila ni Natamani kufanya ngono kila wakati, yaani it requires a little trigger mara wa babeli kusimama.
Ni wapo kazini Nita mu idealize mwanamke wa usafi, ni tamu idealize...
19 .12. 1989 19 .11. 2010
Today, our dearly loved brother you turn almost one year since you left us in a melancholy way, your sense of humor will be remembered forever.
Your gap will never be...
Mimi kuanzia leo wadada wote wenye Pua msambao kama Nice B sitaki mazoea.
Alafu wabongo tuache unafiki hii pua asili yake inajulikana inapotoka, humu jukwaani kila siku Mnazonga sana mabinti wa...
Wakuu, leo nimekumbuka tukio la miaka 20 iliyopita. 😂 Nimeona si mbaya nikawasimulia ili tucheke kidogo, tufurahie simulizi, lakini pia tukumbuke kwamba maisha yanaweza kukugeukia kwa sekunde moja...
Leo asubuhi nilikuwa na safari fupi kutoka Kili kwenda A-Town. Nilipofika stendi niliingia kwenye coaster ambayo ilikuwa imeshajaza abiria tayari.
Hivyo konda akachombeza kimtindo hapo nikakaa...
Kila mtu ana lengo la kujenga au kuanzisha makazi sehemu zenye utulivu, amani na usalama vilevile kwenye hewa na upepo mwanana.
Mara nyingi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon au watu wenye...
Neno "Mshangazi" (au wingi wake "Mishangazi") katika lugha ya mitaani limebeba maana mpya na ya kipekee.
Tofauti na maana rasmi ya dada wa baba, neno hili sasa linamaanisha wanawake waliokomaa...
Mimi ni shabiki mkubwa wa wanachama wa hili jukwaa. Muda mwingi nawasoma kimya kimya....
Sasa fikiria ile couple inayotikisa mtaa...inaweza kuwepo hapa JF sema tu baadhi ya wanachama...
Najua kuna kufa , najua changamoto zipo 😃, ila Mimi mlevi nikipotea msinitafute nitarudi mwenyewe tu😃😃😃
Na hii ndio miezi yangu ya kupotea na kupiga pesa , hivyo tusizushiane vifo asee😃😃...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.