FORBIDDEN HISTORY
JF-Expert Member
- Jul 28, 2024
- 202
- 521
Jukwaa liendelee kubakia na harmony.
EtiiiiiJukwaa liendelee kubakia na harmony.
Umekuja kivingine nembeleko😁😁Walikuwa wanakukosesha amani kwa namna gani?
Kumbe kamanda upo?We hata sikufahamu nikukoseshe amani kwa lipi hasa? Balance shobo zako vzr!
Nipo nashangaa nzi kibao hafu id sina nazo mazoea kabisa!Kumbe kamanda upo?
Ndio nimekuja kivingine kama wewe uliyeanzisha mada halafu ukalog in kwa hii ID nyingine kujibu commentsUmekuja kivingine nembeleko😁😁
Ko yeye ndio fukua fukua Matipo Ids? 😂😂😂Mbona Adriz mtu poa sana sema ni vile anawaumbua na matipo ids zenu za kutukana watu humu..!!
Na kafukua kweli 😹😹Ko yeye ndio fukua fukua Matipo Ids? 😂😂😂
😹😹😹 Ukikosa kazi ya kufanya lazima uwe chakaramu wa ids mbalimbali..!!Matipo Ids ktk 1 na 2. Aloooh 😂😂😂
Na ukishazoea Ban bas JF haikusumbui.Na kafukua kweli 😹😹
Tumezijua hadi I’d za mademu madume..!!
Ila ban inauma ukizoea kushinda JF uduguu
😂😂😂 JF inawapeleka puta wana na waja.😹😹😹 Ukikosa kazi ya kufanya lazima uwe chakaramu wa ids mbalimbali..!!
Ewaaaah!!Na ukishazoea Ban bas JF haikusumbui.
😂😂😂