Hivi, nini huwa kinatakiwa kuanza kati ya hivi ukiamka asubuhi?

Hivi, nini huwa kinatakiwa kuanza kati ya hivi ukiamka asubuhi?

Huwa unaanza na kipi?

  • A. Kupiga MSWAKI

    Votes: 2 20.0%
  • B. Kuoga

    Votes: 1 10.0%
  • C. Kifungua KINYWA (Chai)

    Votes: 2 20.0%
  • D. Maombi

    Votes: 5 50.0%

  • Total voters
    10

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Mdau

Je, wewe huwa unaanza na kipi kati ya hivi ukiamka asubuhi?


ASUBUHI.png
 
Kila mmoja atakuwa na majibu yake

Binafsi naanza na 1,2,4 then 3

Kifungua kinywa napata baada ya kumaliza kuvaa kwaajili ya kutoka

Wapi wengine huanza na 3, then 1,2,4
 
Mibasi mi sio mtu wa kawaida. Changu hakipo hapo.
 
Nikishtuka tu nashukuru kwa kuiona siku mpya na kuomba ulinzi na mafanikio ya siku mpya. Ni jambo ambalo halichukui hata dakika 2. Baada ya hapo ndio mambo mengine yanaendelea
 

Sala,,,Push-Ups Zangu 100+,,Pumziko La Nusu Saa Then Maji Baridi Kujimwagia...!!​
 
- amka tandika kitanda
-Piga push ups kadhaa
-toka nje angalia usalama wa nyumbani kwako.
-rudi ndani piga mswaki
-oga
-kunywa chai..

Hii ndy ratiba kamili ya mwanaume..
 
1: Chooni
2: Kupiga mswaki
3: Kuoga
4: Itategemea ni siku gani, chai iwe nyumbani au kazini.
 
Back
Top Bottom