Hakuna mtu alikuwa na dingi mkali kanda ya kati kama mimi.
Yani Tabora, Dodoma na Singida nna uhakika mzee wangu ndio alikuwa mzee mkali kuanzia miaka ya 1976 mpaka alipofariki mwaka 1997.
Mzee...
Tangu 2012 Nimekuwa Nikijaribu Kusimama Tena — Changamoto Niliyonayo Sasa
Wakuu, nimeona leo niandike kitu ambacho kwa muda nimekuwa nikikifikiria sana.
Mwaka 2012 nilifeli masomo. Tangu wakati...
Habari za leo?
Wapendwa ningependa kuwe na utaratibu wa member mmoja wa Jf labda kila alhamisi achaguliwe ili members wa humu tuwe free kumuuliza chochote na ajibu postive. Ishu binafsi ambazo...
NATAFUTA RAFIKI WA KWELI KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU
Wakuu, leo sitafuti mtu wa kunihukumu wala kunionea huruma. Natafuta rafiki mwenye moyo wa kunisikiliza, kunishauri na ikiwezekana kunishika...
Wangapi bado wanaamini Tanzania bado kuna vitu vya kuboreshwa kwenye sekta yoyote ya uchumi?
Kama unadhani kuna cha kuboresha waweza comment hapa wote tuenjoy uboreshwaji wa maisha...
Ukishajenga nyumba ya kwanza, ya pili huna haja ya kujenga nyumba za namna hiyo tena.
Akili inatakiwa ikue; tafuta shamba kuanzia ekari ishirini na kuendelea, ndani ya hilo shamba jenga nyumba...
Wakati nipo kijijini nilikuwa naambiwa Dar Es Salaam kuna maisha mazuri, fursa ziko nje nje.
Baada ya kumaliza Form 6 nilikuja kuishi huku ili niweze kujitafuta, kwa kweli nilikuta mambo tofauti...
Kundi la kwanza ni Watafutaji wa Marafiki na Mapenzi (The Hook-up Crew) ambao kazi yao kubwa ni kuanzisha nyuzi za kutafuta marafiki wa jinsia tofauti au kuonesha hisia zao waziwazi kwa wanachama...
Mtaniwia radhi kwa ukubwa wake kutokana na hii mada.. Natambua wengi wenu mtakereka na maudhui yake na baadhi mtaudhika Sana..! Lakini kupitia mada hii naomba msijichukulie Kama walengwa bali...
Inawezekana umekaa mjini muda mrefu, lakini maisha bado yanakuchapa tu, mpaka kujikuta unafanya kazi ambazo zinapoteza uelekeo wako na utu.
Kupitia uzi huu, kama unatamni kurudi kijijini ukaishi...
Kuna Muda Nikimuona Mwanamke wangu ananisogelea akiwa mpole sana Na Kuniita majina Matamu kama
“Mume wangu Kipenzi ,My Chulululilu, Baba watoto wangu..”
Najua tayari sentensi inayofuata ni...
Tena hata sio milioni 700, ni Bilioni Moja hio gari.
Na hapo dogo naona anataka kuanza kukodi private jet, itakayokua inampeleka katika safari zake.
Eti ni forex tu. Naandika ujumbe huu machozi...
Wakuu, nijitambulishe!
Kwanza awali ya yote naitwa AXIOM APEX VERBOSE
hii ndio ID pekee ninayoitumia JF sina ID nyingine ukiondoa hio.
Tuache hayo. Turudi kwenye mada.
Ninaomba kufahamu wewe...
Ninaandika haya ku make things clear...
Maana kuna watu walidhani labda nimeondoka jf kwa sababu nimekimbia watu!, au nimefanya kitu kibaya na sasa nimekamatika so nina change ID...
Kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.