Achana na ujinga wa kuamini picha za wadada wa hili jukwaa na kuweka hitimisho kuwa ni wazuri .
Sio kwamba kila mdada akiposti picha yake ni m baya .
Kuna pisi kali mno JF ila selfika...
Sikiliza MWANANGU WEWE WA KIUME KAMA HUWEZI KUKAA BILA KUFANYA NGONO basi hii post kwa ajili yako.
Kama bado unafikiri kila mwanamke unayekutana naye anastahili kumwaga mbegu zako bila kinga —...
Kuna vitu ukiwa navyo ni kama natural lubricant, inarahisisha mambo sana. unajikuta unapata nafasi ambazo wengine wanaodhani akili nyingi wameshindwa. pia watu wanakushobokea sana na kila mtu...
Mwanetu sana Intelligent businessman kimya sana kaka. Kama upo offline it’s alright ila kama umeisoma hi post login ujibu PMs.
I know June was bad for us ila naamini tumeuvuka brother.
Guys nipo mkoa fulani sasa mchana nilikula ugali nikaleta zile mbwembwe za Dar za sili usiku zaidi ya matunda tu,
Sielewi nini kimetokea ila njaa inaniuma siwezi kulala na siwezi kutoka kutafuta...
Ninajisikia vibaya sana...
Mwanamwema wa Jamhuri hii, nimebakia tu kumsikia His Lordship Francis Lucas Nyalali the Chief na ripoti yake aliyoiwasilisha kwa Rais Mwinyi tarehe 17 Februari...
Kuna vijana wawili walitorokea Uingereza kutafuta maisha, mmoja katika ya vijana hawa wawili alijifanya kujua sana kimombo akamwambia mwenzake kwamba wakifika Uingereza ikiwa Mzungu akiuliza swali...
Jamani mmekiona kipakacha? Kipakacha ni mwanachama mpya wa JF, karibu sana kipakacha katika ukumbi wetu huu mwanana. Huko kwenye kipakacha umeficha nini?....:) mbona kipakacha kimetunatuna...:)...
Watu wengi wanashangazwa na tabia yangu humu jukwaani.
Wanasema eti niwe natumia lugha ya upole na kuacha kusema jambo eti kwasababu Lita muumiza mtu..
Nawashangaa sana..
Hii dunia haina usawa...
Why can't you just be real!? Woga wa nini sasa😀🙌🏿❗
ID mlima kama zinaleta pesa!?
You just can't hide your inner self...!
Your reaction...!
Your handwriting...!
Your cycles...!
Your...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.