haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,572
- 3,863
Kuna vitu ukiwa navyo ni kama natural lubricant, inarahisisha mambo sana. unajikuta unapata nafasi ambazo wengine wanaodhani akili nyingi wameshindwa. pia watu wanakushobokea sana na kila mtu anataka awe rafiki yako tena muwe wote kwenye watu wengi/ public.
Nashukuru watoto wangu wamechukua uzuri wangu pia, watu wanawapenda sana, am so proud. cha ajabu watu wenye sura personal wanakaza kichwa kuona labda huu sio uhalisia.
Nashukuru watoto wangu wamechukua uzuri wangu pia, watu wanawapenda sana, am so proud. cha ajabu watu wenye sura personal wanakaza kichwa kuona labda huu sio uhalisia.