Muonekano wangu mzuri umenipatia vitu ambavyo nguvu na akili visingetosha

Muonekano wangu mzuri umenipatia vitu ambavyo nguvu na akili visingetosha

Inawezekana ugumu wangu wa maisha umeendana na ugumu wangu wa sura kumbe
 
cha ajabu watu wenye sura personal wanakaza kichwa kuona labda huu sio uhalisia.
Haa😳 ndio unanisema hivyo na kasura kangu kama mjomba Wassira🤣😂

Hata jirani yangu mwanga ananiambia wewe mtoto kila nikija kukukwangia nakimbia mwenyewe na hilo lisura lako😂🤣🤣
 
Nipo mdogo wangu muhanshamu..!! 🥰
Nakudai haszu usijisahulishe 😹
There is no way I can let you down, nitumie PM, mtandao unaotumia nikutumie, last time huku reply my comment, which I was asking for this,
 
There is no way I can let you down, nitumie PM, mtandao unaotumia nikutumie, last time huku reply my comment, which I was asking for this,
Nakupm mdogo wangu mzuri 😘
 
Back
Top Bottom