“Intelligent Businessman” popote ulipo tundoe wasiwasi wanao!

“Intelligent Businessman” popote ulipo tundoe wasiwasi wanao!

Don't know how to start this shit, but angalau bro (hope umeelewa kule).

Kweli june was bad, maana nili dhani ni kwenda hospital na kurudi baada ya siku chache.

But naona ni kama tume ingia ubia wa kupeana kampani, siku hizi najua hadi harufu na majina ya ma nurse.

shida naona ni dawa na sindano, zina nizidi uwezo nakuta nalala sana muda mrefu.

I appreciate you all, intelli fvckin world.
 
Huyu ni mtu wangu wa nguvu katika nyanja za burudani. Uwepo wake ni muhimu.
bro nina muda sijui tv au pc ikoje, kwa wiki kadhaa nime angalia series ya ep 8 tu.

  • shop of killers s1, s2 inatoka trh 27
  • Weak hero class
  • laughing in the wind
  • legend of female general
  • love like the galaxy
  • Who rules the world (,🔥)
  • the double 2024
  • strange tale of tang dynasty
  • my country - Korea
  • shine or go crazy
  • six flying dragon - Korea
  • fangs of fortune
  • story of kunning palace
 
Back
Top Bottom