secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Nisamehe tu bure mkuu.Oya mtapasuka
Nisamehe tu bure mkuu.Oya mtapasuka
Ngoja nimtext what's up ntakupa mrejeshoMwanetu sana Intelligent businessman kimya sana kaka. Kama upo offline it’s alright ila kama umeisoma hi post login ujibu PMs.
I know June was bad for us ila naamini tumeuvuka brother.
Mamba 24 watch your back, Matyako yako haji manara.Huyo kenge maji sijui kapotelea wapi au alifuata msafara wa mamba
Pole sanaNashukuru sana kwa upendo huu, japo hali ina change Sana kama usiku huu wa leo.
Ime nibidi kukubali kurudishwa hos, nime pigwa sindano za dawa
Daaah! pole sana.Nashukuru sana kwa upendo huu, japo hali ina change Sana kama usiku huu wa leo.
Ime nibidi kukubali kurudishwa hos, nime pigwa sindano za dawa
Pole sanaNashukuru sana kwa upendo huu, japo hali ina change Sana kama usiku huu wa leo.
Ime nibidi kukubali kurudishwa hos, nime pigwa sindano za dawa
Mkuu vipi huyu jamaa vipi yupo salama?Ngoja nimtext what's up ntakupa mrejesho
Ngoja nimpigie simu yupo kimya ntawapa mrejeshoMkuu vipi huyu jamaa vipi yupo salama?
Poa mkuu nasubiri mpe salamu zanguNgoja nimpigie simu yupo kimya ntawapa mrejesho