JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kufuru anayofanya and force aliyonayo ni mfano aina ya mtu ambae sio energy ya kibinadamu. Nafikiri yupo possessed au connected na element fulani hivi.
5 Reactions
29 Replies
616 Views
Kero yangu kwa saluni za Dar. Janja janja nyingi. Mtu unaenda kwa huduma ya kunyoa Tu na pesa kamili. Ukifika Mda wa kuosha kichwa, wadada Wana tabia ya kulazimisha uweke dawa ya m'ba huku wakijua...
4 Reactions
8 Replies
111 Views
Wandewa, faragha sio uwanja wa mapambano ya ngumi au mbio za mita mia! Ule ni mchezo wa bao la kete—unataka akili, subira, na kucheza kwa kunyata sana. Unalivaa futa utadhani unakamata mwizi wa...
2 Reactions
44 Replies
507 Views
Katika msimu huu wa mvua kubwa wala usikose kondom mfukoni mwako ewe mwana JF. Itakusaidia sana kwa maana dharura ziko nyingi sana. Binafsi mwaka 2022 kondom ilinisadia sana. Ilisitiri simu yangu...
13 Reactions
56 Replies
476 Views
Mimi kuna bar hapo Tabata wamenipa jina la king mswati.Hilo jina walinipa kwa sababu ya kila bar maid anaekuja lazima nipite naye, Wadau wakaamua kuniita king mswati. Wewe je mdau, maeneo yako ya...
2 Reactions
17 Replies
673 Views
Bila hata matusi , stara ya kiwango cha lami mnafuta nyuzi za humu🤔 Kuna nini humu ndani ? Ni sharia ipi imebadilika ambayo wana zengo tunashindwa kuifahamu?
3 Reactions
18 Replies
116 Views
Kwa kweli, japo nimethibitisha na picha selfika, kwa uchache tu 🤗, namba zinaongea😁 hapo👇 Binti wa zamani Lamomy hapa kuna mtanga mmoja 😁 pombe nilizo kunywa zimefuta jina lake kabisa 😁😁😁 Depal...
5 Reactions
6 Replies
125 Views
Kumekuwa na uhitaji mkubwa wa kutuma watu, hasa wengi hutumia waendesha bodaboda, kuwaletea vyakula mfano; chipsi, nyama choma, vyakula vilivyopikwa, matunda yaliyo katwakatwa, juisi n.k na...
6 Reactions
39 Replies
452 Views
Hata kama umekwama kiasi gani kifedha au kihisia, hakikisha kuna namba za simu ambazo huzipigii kamwe ili kujiepusha na madhara makubwa zaidi. Dharura na shida ni mambo ya mpito, lakini maamuzi...
27 Reactions
60 Replies
1K Views
Kule kijijini kwetu Singida ukijenga nyumba nzuri, lazima ujipange kweli kweli kama ni mlonzi basi loga sana, kama ni mcha Mungu basi omba sana. Unaweza maliza nyumba yako na ukadanja ukaiacha...
3 Reactions
11 Replies
189 Views
Ni nani unaye crush naye hapa jukwaani? 😄 Hapa jukwaani pamekuwa sehemu ya enjoyment kwa baadhi ya watu, darasa kwa wengine, na sehemu ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kufahamiana. Sasa...
38 Reactions
1K Replies
12K Views
Hii nini kitaalamu
5 Reactions
43 Replies
518 Views
Hello Friends, I live in Arusha I would like to get friends who speak English fluently, I am an intermediate user so i wanna boost my speaking Skills, I have friends out of my country and i always...
0 Reactions
438 Replies
26K Views
Kutokana na jua kuwa kali sana, na kuchoma usoni, mwili, mpaka mifukoni, kumekuwa na ongezeko kubwa sana la waganga na manabii kwenye mitandao ya kijamii, hasa kule Tiktok. Ukifungua kidogo tu...
0 Reactions
0 Replies
48 Views
Hakunaga ushemeji tunakulaga Shemeji kanunua pastora ngoja nimpende dada yake WAUNGURUMA WAILIPUA KIMENUKA WAIBANA WAJILIPUA AMLIPUA Yote yapo kwenye kamusi ya BaKITA waliochukia page 66
4 Reactions
32 Replies
211 Views
Hello guys!!! Hali ya kutoka jasho bila sababu ya msingi.... .....Yani umetulia hakuna pressure yoyote, unashitukia kaubalidi kanapita tu, kutoka kwapani kuja chini. .....Unakuja kuangalia ni...
1 Reactions
0 Replies
57 Views
Wajuzi wa mambo naombeni nifahamisheni kuhusu haya mangoma kwenye minara huwa za kazi gani?
10 Reactions
23 Replies
456 Views
Jf Today's Birthdays jumla ya member 33 ambao wame andika tarehe ya Leo 11/09 Happy birthday am 4 real Kwa niaba ya wote tuliozaliwa September eleven...... Niseme, Happy birthday to you All 🎁 🎉🎉
13 Reactions
98 Replies
2K Views
1. 2006 - 2015 2. 2016 - 2026 Uchambuzi wa vizazi viwili vya JamiiForums (JF) unaonyesha mageuzi makubwa kutoka kwenye jukwaa la wasomi na wachambuzi wazito hadi kuwa uwanja mpana wa kidijitali...
6 Reactions
17 Replies
247 Views
Back
Top Bottom